Video: BMW X1 umeungua kizembe baada ya kufungwa mfumo wa gesi/CNG

Video: BMW X1 umeungua kizembe baada ya kufungwa mfumo wa gesi/CNG

Wataalamu wa magari huwa wanashauri kuepuka matumizi ya gesi kwenye magari na badala yake ni Bora ununue hybrid car ili ufurahie maisha.

Tumeona wengi wamefunga CNG eti Kwa kuepuka gharama za mafuta kitu ambacho ni matatizo baadae kwenye engine hata Huko ulaya walishaacha haya matumizi ya gesi, huu mfumo hauna mpango wowote kwenye ulimwengu wa magari hasa Kwa magari ya ulaya
View attachment 3128530Mfumo WA CNG tuwaachie watu wa bajaj na Toyota kwasababu Yana mifumo rafiki Kwa technology hii
Kuna gari utengenezwa ili zinapofikisha millage ya kilomita laki moja zibadilishewe oil filter, Air filter, engine check n.k

Garivkampuni ya BMW huwa zinatengenezwa ili zisivuke millage ya kilomita laki moja ili waweze kuuza zaidi na inapofikisha hizo millage huanza kuwa na matatizo mengi
 
Kampuni nyingi huwa zinakuja zinaweka 100,000 limit
 
Back
Top Bottom