Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Nimeshangaa, temper na toyota but si hiyoAisee kweli unanunua chuma ya mjerumani halafu unaweka mtungi kweli ? Hiyo wiring yenyewe ni mafundi wachache ndio wanaijua 😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshangaa, temper na toyota but si hiyoAisee kweli unanunua chuma ya mjerumani halafu unaweka mtungi kweli ? Hiyo wiring yenyewe ni mafundi wachache ndio wanaijua 😆
Kuna jamaa alienda kuweka radio ya android BMW X3 sijui walifanya nini gari kiutani utani gari ikagoma kuwaka ilibidi ibebwe juu na breakdown😁Nimeshangaa, temper na toyota but si hiyo
Hizo gari za mjerumani zina sensor kila kona. Inahitaji sana umakini else ECU ina lock gariKuna jamaa alienda kuweka radio ya android BMW X3 sijui walifanya nini gari kiutani utani gari ikagoma kuwaka ilibidi ibebwe juu na breakdown😁
Sijui kwanini gari hiyo imeungua ila kwa jinsi huo moto unavowaka ni dhahiri huo ni moto wa gasAcha kupotosha , hizo Dualis mnazosema zinaungua huwa zimefungwa CNG? Gesi ya CNG ni nyepesi kuliko hewa, hata ikivuja hupotelea hewani kabla haijawaka.., hapo ipo sababu nyingine..
Halafu nimegundua wabongo wachawi sanna, badala ya kutoa msaada wa kuzima yenyewe yanaangalia na kufurahia..
Warthog aka King of EnginesUnawapaga lift mkuu mkipita kituoni hua mnapita kwa speed ya Warthog
Huo moto hapo ni wa gas lakiniMwaka juzi nimeshuhudia discovery4 nyeupe inaungua kwenye mataa mbezi beach na haikua na mfumo wa gas sijui kwanini binadamu tunatabia ya kupiga vita mageuzi chanya
Asije kuwa alifunga gasi kwenye X1 yenye N20 au N55 maana zote ni DIHuu unaoongea ni ujinga mtupu. Kwanini nasema hivyo? Zipo gari za Japan zenye mfumo wa kutema mafuta wa ‘GDI’, yaani ‘Gasoline Direct Injection’, gari hizi huwezi kufunga CNG hata kama ni ya Japan, pia zipo za Ulaya ambazo ni za ‘Naturally aspirated’ fuel injection, ambazo unaweza kufunga gesi vizuri tu.., hivyo hiyo notion yako haina mashiko wala technical basis yoyote..
Hahahaa ila wabongo bwana"chuma inawaka ,umeona mambo ya gesi mwanangu?" - Alisikika jamaa mmoja
Mkuu kama unaifahamu gasi vizuri huo moto unavyowaka unajieleza wazi kabisaMkuu uchunguzi ushafanyika na kubaini chanzo cha moto ni gari kutumia gas?
Tena hata asijisumbue kuwatafuta watu wa BimaHapo Bima haiwezi kumlipa Kwa sababu amekiuka vigezo na masharti kwa kufanya modification
Ni kweli guess ila diesel na petrol pia zikichemshaga huwa zinawaka pia na ndio zilikua zinawaka miaka yote kabla hatujaijua hizi mambo CNGHuo moto hapo ni wa gas lakini
Hukunielewa, nazungumzia flame inayoonekana kwenye videoNi kweli guess ila diesel na petrol pia zikichemshaga huwa zinawaka pia na ndio zilikua zinawaka miaka yote kabla hatujaijua hizi mambo CNG
uko sahihi mkuu ni moto wa gas ,ajari ni ajariHukunielewa, nazungumzia flame inayoonekana kwenye video
Gas haiwaki hivyo, labda ilipukeSijui kwanini gari hiyo imeungua ila kwa jinsi huo moto unavowaka ni dhahiri huo ni moto wa gas
Mtu hata mold za kuchonga block or any spare part huna leo hii uje uweke mfumo wa nishati kwenye mfumo ambao haujautengeneza weweMjerumani kaweka N52 ikae na Petrol, unapeleka kwa vijana wa DIT waweke gesi.