PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Acha kupotosha , hizo Dualis mnazosema zinaungua huwa zimefungwa CNG? Gesi ya CNG ni nyepesi kuliko hewa, hata ikivuja hupotelea hewani kabla haijawaka.., hapo ipo sababu nyingine..Wataalamu wa magari huwa wanashauri kuepuka matumizi ya gesi kwenye magari na badala yake ni Bora ununue hybrid car ili ufurahie maisha.
Tumeona wengi wamefunga CNG eti Kwa kuepuka gharama za mafuta kitu ambacho ni matatizo baadae kwenye engine hata Huko ulaya walishaacha haya matumizi ya gesi, huu mfumo hauna mpango wowote kwenye ulimwengu wa magari hasa Kwa magari ya ulaya
View attachment 3128530Mfumo WA CNG tuwaachie watu wa bajaj na Toyota kwasababu Yana mifumo rafiki Kwa technology hii
Kwangu Mimi naona Toyota ndiyo yanafaa zaidi kwenye mifumo hii ya gesi.Acha kupotosha , hizo Dualis mnazosema zinaungua huwa zimefungwa CNG? Gesi ya CNG ni nyepesi kuliko hewa, hata ikivuja hupotelea hewani kabla haijawaka.., hapo ipo sababu nyingine..
Halafu nimegundua wabongo wachawi sanna, badala ya kutoa msaada wa kuzima yenyewe yanaangalia na kufurahia..
Mambo ya kuvamia kila jambo.Wataalamu wa magari huwa wanashauri kuepuka matumizi ya gesi kwenye magari na badala yake ni Bora ununue hybrid car ili ufurahie maisha.
Tumeona wengi wamefunga CNG eti Kwa kuepuka gharama za mafuta kitu ambacho ni matatizo baadae kwenye engine hata Huko ulaya walishaacha haya matumizi ya gesi, huu mfumo hauna mpango wowote kwenye ulimwengu wa magari hasa Kwa magari ya ulaya
View attachment 3128530Mfumo WA CNG tuwaachie watu wa bajaj na Toyota kwasababu Yana mifumo rafiki Kwa technology hii
Ccm imewaharibu sanaAcha kupotosha , hizo Dualis mnazosema zinaungua huwa zimefungwa CNG? Gesi ya CNG ni nyepesi kuliko hewa, hata ikivuja hupotelea hewani kabla haijawaka.., hapo ipo sababu nyingine..
Halafu nimegundua wabongo wachawi sanna, badala ya kutoa msaada wa kuzima yenyewe yanaangalia na kufurahia..
Huu unaoongea ni ujinga mtupu. Kwanini nasema hivyo? Zipo gari za Japan zenye mfumo wa kutema mafuta wa ‘GDI’, yaani ‘Gasoline Direct Injection’, gari hizi huwezi kufunga CNG hata kama ni ya Japan, pia zipo za Ulaya ambazo ni za ‘Naturally aspirated’ fuel injection, ambazo unaweza kufunga gesi vizuri tu.., hivyo hiyo notion yako haina mashiko wala technical basis yoyote..Kwangu Mimi naona Toyota ndiyo yanafaa zaidi kwenye mifumo hii ya gesi.
Kwa magari haya ya kijerumani naona ni complexes Sana Kwa mifumo hii.
Huu ni mtazamo wangu tu
Wataalamu wa magari huwa wanashauri kuepuka matumizi ya gesi kwenye magari na badala yake ni Bora ununue hybrid car ili ufurahie maisha.
Tumeona wengi wamefunga CNG eti Kwa kuepuka gharama za mafuta kitu ambacho ni matatizo baadae kwenye engine hata Huko ulaya walishaacha haya matumizi ya gesi, huu mfumo hauna mpango wowote kwenye ulimwengu wa magari hasa Kwa magari ya ulaya
View attachment 3128530Mfumo WA CNG tuwaachie watu wa bajaj na Toyota kwasababu Yana mifumo rafiki Kwa technology hii
Sahihi kabisaa mkuuMtoa mada hapo tatizo sio gas tatizo ni mwenye gari na mafundi wake.. wabongo hatupend kufanya research tunapenda kufanya mambo kwa mkumbo
TUNAPENDA KUJIFUNZA KWA MAUMIVU.. hapo inalaumiwa gas wakat shida iko kwa mwenye gar na mafundi wake..
mwenye gar alipaswa kufanya research kujua huo Mifumo inafanyaje kaz na gar zipi zinafaa.. fundi na the same.. ila mafundi wengi bongo wa kukariri akifundishwa kufanya kaz kwenye gar A basi yeye kakariri kuwa kitu hicho hicho kinaweza kufanyika kwenye gari B atakwambia ah inaqezekana mbona tulifanyia bmw moja hv.. ukija kuangalia hiyo bmw waliofanya ni ya mwaka 2000 thwn yeye anataka Kufanya kwenye bmw ya mwaka 2010
Yale yale ya kukimbilia kufunga infortment system kwenye kila gar kwa kufata wiring diagram ya kukariri.. amekariri kutafuta positive na negative.. tu hata ukimpa wiring diagram ya gari hajui kuisoma hajui wire upi unaenda wapi na terminology zilizotumika kwenye mchoro Zinamaanisha nini matokeo yake gar zinaungua ukiuliza utasikia Mbona haijafanyiwa kitu tulibadili bulb tu ilikuwa imeungua..
ila hajui hiyo bulb kama ni compatible na mfumo wa umeme uliopo. gari za za siku hizi umeme mwingi na ni very sensitive.. bulb inaweza kuunguza gari...
Wabongo wako wachache wanaosoma "user manual" za gari zao.. wengi akinunua gari "user manul book" inapotezwa
Kama una maisha ya kawaida na gari kwako ni kama nyenzo. tafuta gari za 2010 au 2015 kushuka chini.. hizo hazina mbwembe nyingi na mafundi wetu hawa wa bei za 30k wanazimudu
Gar za kisasa zinahitaji pesa ili upeleke garage za maana zenye vifaa na watu wanaojua kaz zao sio fundi nyundo na tester ya waya.. gari za kisasa oil tu ambayo sio yake gari haiondoki au inaua gearbox..gari ina umeme kila Sehem had gearbox umeme
Kwenye video wanasema shida ni gesi kama umeangalia vizuri..Mkuu uchunguzi ushafanyika na kubaini chanzo cha moto ni gari kutumia gas?