Video: Bora corona kuliko CCM

Video: Bora corona kuliko CCM

Ndo mambo uliyokuwa unafanya hayo...??
Somebody wife material...😂
Acha tu ndio maana kisauti cha jaji lubuva kimegoma kutoka kichwani kwangu....

Anna Mngwira ACT amepata kura 1538 sawa na asilimia 0.0001
Edward Ngoyai Lowasa CHADEMA amepata kura 20654 sawa na asilimia 12.2
John Joseph Magufuli CCM.....

Yani hiki kisauti hakitoki kichwani kwangu
 
Hata mimi ningekuwepo eneo la tukio, ningewaunga mkono kuimba huo wimbo! 🗣️Bora Corona kuliko CCM!!
 
Acha tu ndio maana kisauti cha jaji lubuva kimegoma kutoka kichwani kwangu....

Anna Mngwira ACT amepata kura 1538 sawa na asilimia 0.0001
Edward Ngoyai Lowasa CHADEMA amepata kura 20654 sawa na asilimia 12.2
John Joseph Magufuli CCM.....

Yani hiki kisauti hakitoki kichwani kwangu
Aaaaaiiiseeee! Nimejikuta na recall na Mimi....nikaishia kuikumbuka safari ya matumaini iliyoanzia uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha,Msukuma alituwa na hericopta
 
Vipi sahivi libeneke litaendelea au ndo tia maji tia maji...?
 
Aaaaaiiiseeee! Nimejikuta na recall na Mimi....nikaishia kuikumbuka safari ya matumaini iliyoanzia uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha,Msukuma alituwa na hericopta
Hatari sana.
Halafu ghafla akamgeuka rafiki yake na kuanza kumsingizia habari za kujinyea n.k!
CCM NA WANA CCM WENGI NI JANGA LA TAIFA!
 
Back
Top Bottom