Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
HahahahahaMisukule hiyo.
Wanaojua na kujitambua wanaelewa 👇👇Kuna taarifa ukizisikia unaishia kuumia na kushangaa Sana sana. Kuna mengi nyuma ya pazia yakutisha.
Kama haya yamefanyika Kwa CCM wenyewe Kwa wenyewe, ilikuaje Kwa Upinzani?