VIDEO: CCM waanza kutajana kwenye Wizi wa kura

VIDEO: CCM waanza kutajana kwenye Wizi wa kura

Ccm wote ni wezi na waongo. Hata huyu Kibajaji siyo muadilifu japo wnamtolea povu mwizi mwenzie (Nape).
 
Kuna taarifa ukizisikia unaishia kuumia na kushangaa Sana sana. Kuna mengi nyuma ya pazia yakutisha.

Kama haya yamefanyika Kwa CCM wenyewe Kwa wenyewe, ilikuaje Kwa Upinzani?

Wanaojua na kujitambua wanaelewa 👇👇
 

Attachments

  • Screenshot_20230408-204546.png
    Screenshot_20230408-204546.png
    177.9 KB · Views: 5
Back
Top Bottom