share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Hahahaaaa, hili jitu huwa linapanua mdomo na kupayuka bila kuishirikisha halmashauri ya kichwa chake.Jana Mwenyekiti wao alimwambia Mungu Oyee, kama mwanasiasa mwenzake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa, hili jitu huwa linapanua mdomo na kupayuka bila kuishirikisha halmashauri ya kichwa chake.Jana Mwenyekiti wao alimwambia Mungu Oyee, kama mwanasiasa mwenzake.
Ndio nina uhakika asilimia 10000 nimemsikia mimi mwenyewe kwa masikio yanguUna uhakika kweli amesema Mungu oyee??????
Kweli????
CCM wana uhuni wa kila namnaHii hapa jionee mwenyewe
View attachment 1574087
Kufuru hiiHii hapa jionee mwenyewe
View attachment 1574087
Tunajuaje kama siyo chadema wanafanya maigizo?Hii hapa jionee mwenyewe
View attachment 1574087
Jana Mwenyekiti wao alimwambia Mungu Oyee, kama mwanasiasa mwenzake.
Zaburi 1:1 - 6Huwezi kusema "Mungu oyee". That simply is a blasphemy. Kama kuna sababu ya kumtukuza Mungu, basi unaweza kuwaambia watu wapige makofi na vigelegele kwa Mungu. Lakini siyo "Mungu oyeee"
Wewe ni mwendawazimu ?Tunajuaje kama siyo chadema wanafanya maigizo?
asipoelewa hapo basi tupige ishara ya msalabaZaburi 1:1 - 6
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku. Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki; Na kila alitendalo litafanikiwa. Sivyo walivyo wasio haki; Hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo. Kwa hiyo wasio haki hawatasimama hukumuni, Wala wakosaji katika kusanyiko la wenye haki. Kwa kuwa BWANA anaijua njia ya wenye haki, Bali njia ya wasio haki itapotea.
Mbona viongozi wenu wanapohubiri kuwa mchague fulani hamuudhiki?Ametuhudhi sana sisi wakristo.Ni dharau kwa biblia na Mungu