Nimeona habari phoenix habari ya Tanzia
Kua afande amejitoa uhai....
Hili Iina ibua conspiracy theories..
hii conspiracy nimeiwaza kutokana na askari mmoja wa ngazi za juu TZ katika kuongea nae AKANITAMKIA ""WEWE NI NANI""??
Hili swali lilinifanya niwaze mengi sanaa
Mwenye taarifa kamili kuhusu afande mzanzibar anaweza kutujilisha... R.I.P AFANDE