Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
Wakristo hua wana vituko sana....

Wanajifanya kukataa reality....

Walivyo vichwa maji kama mimi watasema sio kweli na ile video shetani kaiharisha!

Yaani hii dunia ni ya ajabu sana....
 
Gwajima mwenyewe afanye na ajirekodi. Gwajima, Gwajima, Gwajima. Hajalewa wala kulazimishwa! Kuna mtu anatuhamisha kwenye lengo la kupinga utekaji. Tumuache Baba Askofu kiungwana tuuu.
 
Wakristo hua wana vituko sana....

Wanajifanya kukataa reality....

Walivyo vichwa maji kama mimi watasema sio kweli na ile video shetani kaiharisha!

Yaani hii dunia ni ya ajabu sana....
Sasa mtu atapinga kwa grounds gani? Ile ni video kabisa sio hata picha unazoweza kusema mtu kapachika sura. Na yeye ndio alierekodi sasa kunahitajika ushahidi gani ama utetezi gani wa kukanusha huo ukweli?
 
Ana fantasy ya kujirekodi halafu anaangalia baadaye. Amejirekodi nyingine nyingi tu na waumini wake, akiwepo mmoja ambaye ni mke wa mheshimiwa mmoja.
 
Ungekua hutaki umbea hata kucomment usingecomment. Unaomba picha halafu unasema we sio mmbea? We mmbea kama mimi tu bwana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ basi mpenzi, hebu achana nae huyo Gwajix kashantia wazimu mie nimefungulia...bila kupenda
 
Ndo.ujue baadhi ya watanzania walivyo wapumbavu ..maripoti yanakuja mnaibiwa mabilioni ..tuko kwenye msiba, ndugu mmoja huko ametekwa..badala tuhoji vitu vya msingi tunahoji upumbavu na zaidi baadhi ya mamburula yanapelekeshwa tu
Gwajima mwenyewe afanye na ajirekodi. Gwajima, Gwajima, Gwajima. Hajalewa wala kulazimishwa! Kuna mtu anatuhamisha kwenye lengo la kupinga utekaji. Tumuache Baba Askofu kiungwana tuuu.
 
Sasa mtu atapinga kwa grounds gani? Ile ni video kabisa sio hata picha unazoweza kusema mtu kapachika sura. Na yeye ndio alierekodi sasa kunahitajika ushahidi gani ama utetezi gani wa kukanusha huo ukweli?

Hahahahahaa

Mkuu huko Insta kuna wana kondoo wanabisha kabisa yaani...

Kasome comments zao uone vituko vya karne!

Cha ajabu Jumapili atahubiri na waumini wataamini kabisa ile video sio yake ni shetani kaileta eti anawaonea wivu wanaenda mbinguni!

Yaani....the problem is really bigger with human beings aisee!
 
Ndio maana hawa watu wanaojiita manabii na mitume huwa nawaasa sana watu kutowaamini.hatujui unabii na utume wao utokako! Tuwe makini sana hata kuwekewa mikono nao kwani sio kila mikono ina baraka za Mungu mingine ni yule aliye kinyume na Mungu..
Kwani Usomi HISTORIA YA Dini
Fatilia historia ya dini yako unayoiamini utapata kichefuchefu
 
Tanzania tuna safari ndefu sana aisee...mie uumini umenishinda mkuu, wacha niishi kwa kufuata morals tu!
Wapumbavu hawatakaa waishe na sadaka watampelekea
 
ata mapazia ni tofauti kbs na video ya kwanza ya Gwajima akijirekodi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…