agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Nimeshindwa kuimalizia video aibu imenishika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha anatisha..Ni aibu,ila jamaa anakata mauno acha kabisa. Jamani wanaume mjifunze kwa Gwajima.
Acha ungese, habari za uongo wakati clip imerekodiwa na baba askofu mwenyewe wakati akimwaga moto. Muongo utakuwa wewe
Sasa mtu atapinga kwa grounds gani? Ile ni video kabisa sio hata picha unazoweza kusema mtu kapachika sura. Na yeye ndio alierekodi sasa kunahitajika ushahidi gani ama utetezi gani wa kukanusha huo ukweli?Wakristo hua wana vituko sana....
Wanajifanya kukataa reality....
Walivyo vichwa maji kama mimi watasema sio kweli na ile video shetani kaiharisha!
Yaani hii dunia ni ya ajabu sana....
Ana fantasy ya kujirekodi halafu anaangalia baadaye. Amejirekodi nyingine nyingi tu na waumini wake, akiwepo mmoja ambaye ni mke wa mheshimiwa mmoja.nimecheki video yote full ni dakika tatu hadi tano i think ni aibu mno kila kitu open kwa maana ya open , mtumishi ameaibika dunia nzima manake mi niko ulaya mda huu!! sasa niliwaza mambo mawili 1. nasikia kuna video youtube huyu bwana aliwakashifu waislam na kuwakataza wazungu kupokea waarabu wakimbizi wanaokimbia kuuwawa kwao na wazungu eti walimsikia!! sasa laana ya masheikh waliomjibu huko huko youtube tena wenye swaum kama unajipenda usiijaribu huo moto wake!!! 2. yasemekana kuna udaku kuwa alitembea na mke wa mtu ndoa ikavunjika hii inaitwa Karma!!! hii awamu hadi iishe kila mtu mwenye umaarufu na pesa asipodanja basi Mirembe sebuleni kwake!!
hahhahaha una taman akupishe mkuu?Nimetumiwa hizo clipp na mdau mmoja aisee siamini macho yangu.!
Mzee yuko kitandani na mzigo wa maana halafu anautomba kizembe dah.!
😂😂😂😂😂 basi mpenzi, hebu achana nae huyo Gwajix kashantia wazimu mie nimefungulia...bila kupendaUngekua hutaki umbea hata kucomment usingecomment. Unaomba picha halafu unasema we sio mmbea? We mmbea kama mimi tu bwana.
Gwajima mwenyewe afanye na ajirekodi. Gwajima, Gwajima, Gwajima. Hajalewa wala kulazimishwa! Kuna mtu anatuhamisha kwenye lengo la kupinga utekaji. Tumuache Baba Askofu kiungwana tuuu.
Jamaa yuko fiti kishenzi. Kuna video zake tatu zinatrend huko kwa the_originaleast.
Ati wanasema ghafla bin vuu Gwajima ameshamzidi Miriam Biriani kwenye udaku trends
Sasa mtu atapinga kwa grounds gani? Ile ni video kabisa sio hata picha unazoweza kusema mtu kapachika sura. Na yeye ndio alierekodi sasa kunahitajika ushahidi gani ama utetezi gani wa kukanusha huo ukweli?
Kwani Usomi HISTORIA YA DiniNdio maana hawa watu wanaojiita manabii na mitume huwa nawaasa sana watu kutowaamini.hatujui unabii na utume wao utokako! Tuwe makini sana hata kuwekewa mikono nao kwani sio kila mikono ina baraka za Mungu mingine ni yule aliye kinyume na Mungu..
😂😂😂😂😂Nimependa kale kasauti kwamwanamke itakua anamtafuna jicho pale
Tanzania tuna safari ndefu sana aisee...mie uumini umenishinda mkuu, wacha niishi kwa kufuata morals tu!Hahahahahaa
Mkuu huko Insta kuna wana kondoo wanabisha kabisa yaani...
Kasome comments zao uone vituko vya karne!
Cha ajabu Jumapili atahubiri na waumini wataamini kabisa ile video sio yake ni shetani kaileta eti anawaonea wivu wanaenda mbinguni!
Yaani....the problem is really bigger with human beings aisee!
All the way from Detroit, mzigo nishaupata.Tanzania tuna safari ndefu sana aisee...mie uumini umenishinda mkuu, wacha niishi kwa kufuata morals tu!
Wapumbavu hawatakaa waishe na sadaka watampelekea
ata mapazia ni tofauti kbs na video ya kwanza ya Gwajima akijirekodiIla yawezekana pia huyu mtu anafanana sana na Gwajima hivyo katumiwa na watu kujirekodi ili kumchafua Gwajima maana ukiangalia kwa makini hiyo video utaona hata mdada hakuwa kwenye mood ya kutiana hata jamaa naye anaonekana kama ni igizo maana nijuavyo utamu wa mapenzi sidhani kama watu wanaweza kutulia hivyo yaani wanatiana kama watoto.!
Kuna siri nzito hapo sidhani kama kweli huyo ni Gwajima japo kweli sura inaonekana kama yeye
Kweli jamaa anakata mauno sanaNi aibu,ila jamaa anakata mauno acha kabisa. Jamani wanaume mjifunze kwa Gwajima.