Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Hasa kwa watumishi wote ambao sio wakweli wajifunze kupitia hili...sijui ana hali gani huko alipo.Nimeona ile video hakika kuna mambo ya kujifunza mengi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa kwa watumishi wote ambao sio wakweli wajifunze kupitia hili...sijui ana hali gani huko alipo.Nimeona ile video hakika kuna mambo ya kujifunza mengi sana.
Tunazipataje wengne ambao hatujaziona mkuu!!!Picha na video zipo ila siwez kuweka hapa mkuu
Gwajima ajirekodi kweli? Bora nibakie tomaso tu! Sawa ni binadamu kama wengine lakini kwa hili nafikiri kuna michezo inaendelea, mitandao hii!
Siyo watumishi, mimi kama mpiga mbupu nimejifunza mengi.Hasa kwa watumishi wote ambao sio wakweli wajifunze kupitia hili...sijui ana hali gani huko alipo.
KabisaPale akipata Cha kujibu ye mwamba maana kila kitu kipo wazi. Na good enough camera man ni yeye mwenyewe
50? Haina shida ni PM yr 4n number boss au ni PM account number yakoTuma elf 50
Tuko kwenye majonzi ...Nenda IG huko wamejaribu kuonesha vzur
Hii ya kifo cha mende mbona kama imetengenezwa?
Hata mazingira ni tofauti kabisa,kamq ni yeye basi ilikua ni siku nyingine na mchuchu huyo huyo
do you think its a conspiracy??Ila yawezekana pia huyu mtu anafanana sana na Gwajima hivyo katumiwa na watu kujirekodi ili kumchafua Gwajima maana ukiangalia kwa makini hiyo video utaona hata mdada hakuwa kwenye mood ya kutiana hata jamaa naye anaonekana kama ni igizo maana nijuavyo utamu wa mapenzi sidhani kama watu wanaweza kutulia hivyo yaani wanatiana kama watoto.!
Kuna siri nzito hapo sidhani kama kweli huyo ni Gwajima japo kweli sura inaonekana kama yeye
Sina muda huo mkuu..nawaza nitapigaje mihela niwe na mipesa kwenye akaunti nitembelee gari ya milionin500 kama paul m.Inabidi na wewe utuoneshe kua huo unaoitwa uvumi sio kweli
Pmbvu sina muda na mambo ya kipmbvu kama haya ya kushabikia upumbavu .haswa kwenye msiba mkubwa wa kitaifa kama huu wa mzee wangu Mengi.Au wewe ndo gwajima mwenyewe. Anaeneza habari za uongo na wakati baba mtumishi anakata viuno na kuwaliza watoto wa watu huko.
Afu usikute wewe ndo mfuasi wake. Pamoja na mavideo yake ya uchafu. Utaenda tena kanisani.
Nonsense [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]