Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hupendi?Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Watakkuwa wameuza ubwabwa wa surplusMaandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Mkuu, sasa ni wakati wa kupima wanamabadiliko wa kweli na wale wanao-test mitambo tu, ilhali hawamaanishi.Hatimaye si tetesi Tena,gengw limekamilisha ujinga wao japo hatukutarajia kwa ukosefu huu wa hasta chembe ya aibu
Tonetone 😬 😬Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
CDM wahakikishe ile hati ya mikocheni inatunzwa hawa matapeli na washirika wao hawachelewi kuchukua na makao makuu ya chama nakudai ni mali yaoMaandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Hela inatoka IkuluMaandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Wanadhaminiwa na ccmMaandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Mbona hata Lissu alichangiwa na CCM?Hela inatoka Ikulu
Hujui tu ... Chauma huwa Wako smart Sana na budget za ruzuku yao. 🙏😁Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Aibu ya nini? Hiki ni chama cha siasa na kina Nia ya kushika dola aibu inatoka wapi sasa? Utakufa nacho kijiba cha roho!Hatimaye si tetesi Tena,genge limekamilisha ujinga wao japo hatukutarajia kwa ukosefu huu wa hata chembe ya aibu