PreGE2025 VIDEO: CHAUMMA wametoa wapi pesa? Tazama maandalizi ya Mkutano Mkuu

PreGE2025 VIDEO: CHAUMMA wametoa wapi pesa? Tazama maandalizi ya Mkutano Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
We mpu.uzi huoni sura za POSHO hizo? Vijana wameokotezwa kama vile CCM inavyosomba watu kwenye mikutano yake. NO REFORMS, NO ELECTION 2025
mkuu mpo emotional sana kama school girls

waliopo chadema hawa sura za posho?

waliopo wote chadema ni matajiri sana tanzania hii hawana sura za njaa kama watanzania wengine?

hizi siasa za emotions kama unazotoa hapa with no reality ni the same destruction path mnayoipitia chadema

mkuu,deal with it,wamewakimbia,tena wengi wao ni wanawake,ni very strange wanawake wengi kuwakimbia namna hii.....

there is something really wrong ndani ya chadema kama hadi wanawake wanawakimbia kiasi kikubwa namna hii
 
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

hiyo ni kodi ya watanzania inachezewa CCM ni mshauri mkuu wa shetani
 
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.


Biashara za watu binafsi. Ni mjinga tu ambaye anafikiri kuna haki kwenye chaguzi zetu. Kwenda kwenye chaguzi kwa mazingira haya ni biashara tu !!!. Tunashangilia upuuzi wanufaika ni mafisadi
 
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

ni kolabo ya Mzee Hashim na wazee wazAlenda wa G55
 
Back
Top Bottom