edward93
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 565
- 1,360
Kwenye interview yake aliulizwa kwann hawajaitisha mkutano wa kuchagua mgombea, alijibu ni hawana pesa ya kuitisha mkutano.Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.