PreGE2025 VIDEO: CHAUMMA wametoa wapi pesa? Tazama maandalizi ya Mkutano Mkuu

PreGE2025 VIDEO: CHAUMMA wametoa wapi pesa? Tazama maandalizi ya Mkutano Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Inawezekana kuwa wale watu wenye uwezo wa kipesa waliokuwa wanaiunga mkono CDM ya Mbowe wamehamishia nguvu zao Chaumma. Tukumbuke wengi wao walikuwa kwenye sekretariat ya CDM hivyo wanawajua watu hao. Watu hao hawawezi kuisupport CDM ya sasa ambayo inaelekea haina strategy yeyote ya kupata wanacho kidai.

Amandla...
Noted and answered watu tuliokuwa chadema ndio hao hao tupo chauma nao chadema is wracked
 
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

Kodi za Wananchi. Haya mazingaombwe watanzania ni muda mwafaka wa kusema NO. Idd Amin Mama must go
 
Aibu ya nini? Hiki ni chama cha siasa na kina Nia ya kushika dola aibu inatoka wapi sasa? Utakufa nacho kijiba cha roho!
Sawa joni Murema.
Sisi tunasema genge lenu ni la wahuni TU mlofurushwa hapo makao makuu ya chama cha wananchi,sasa mnatafuta jukwaa la kufanyia udalali kama kawa.Nyinyi ni walafi wa madaraka
 
Sawa joni Murema.
Sisi tunasema genge lenu ni la wahuni TU mlofurushwa hapo makao makuu ya chama cha wananchi,sasa mnatafuta jukwaa la kufanyia udalali kama kawa.Nyinyi ni walafi wa madaraka
Roho inakuuma? Au una uchungu wa mimba?
 

Attachments

  • IMG_4151.jpeg
    IMG_4151.jpeg
    184.3 KB · Views: 21
C
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

CHADOMO NI WANYONYAJI SANA MICHANGO KILA SIKU .OMBA OMBA
 
Back
Top Bottom