PreGE2025 VIDEO: CHAUMMA wametoa wapi pesa? Tazama maandalizi ya Mkutano Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

Bahari Motors unawajua wewe??
Rungwe akiamua kufungua pochi, tone tone na wengine mtamtafuta kwa mbali
 
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

Wamepata pesa kutoka kwa wadau wa maendeleo.
 
Mbona hata Lissu alichangiwa na CCM?

Amandla...
Nje ya mada, kumbe ndiyo maana miaka yote umeishia kuwa fundi mchundo umeshindwa kujiongeza kielimu ingalau uwe mhandisi, unashindwa mitihani kizembe sana. Swali limeuliza Chauma wamepata wapi hela mimi nikajibu imetoka Ikulu wewe unaleta habari za Lissu kuchangiwa na CCM hivi una akili za kutosha kweli wewe?
 
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

nawaunga mkono kabisa

chadema imepata kiburi sana...na kauli yao ya "ili iweje"

chama la wana..chama la ubwabwa!
 
Nje ya mada, kumbe ndiyo maana miaka yote umeishia kuwa fundi mchundo umeshindwa kujiongeza kielimu ingalau uwe mhandisi, unashindwa mitihani kizembe sana. Swali limeuliza Chauma wamepata wapi hela mimi nikajibu imetoka Ikulu wewe unaleta habari za Lissu kuchangiwa na CCM hivi una akili za kutosha kweli wewe?
kwahiyo chadema tu ndio ina hela dunia hii?

watu 400 wakichanga 20,000 kila mmoja hawawezi kodisha ukumbi?

na pia unadhani Spunda ni masikini kama wewe?

waacheni watu wafanye siasa zao,wametoka huko wameenda pengine,a grown man kuulizia finances za wengine ni somekind ya gay tendencies

kwani nyie chadema hela ya ford foundation kutoka kenya sio hela ni karatasi zile?

acheni unaa!
 
Kuna picha ya ma double cabin ya kutosha yenye nembo ya chauma nlioona sehem , hii inchi bana
 
kwahiyo chadema tu ndio ina hela dunia hii?

watu 400 wakichanga 20,000 kila mmoja hawawezi kodisha ukumbi?

na pia unadhani Spunda ni masikini kama wewe?

waacheni watu wafanye siasa zao,wametoka huko wameenda pengine,a grown man kuulizia finances za wengine ni somekind ya gay tendencies

kwani nyie chadema hela ya ford foundation kutoka kenya sio hela ni karatasi zile?

acheni unaa!
Na wewe kumbe mpumbavu tu kama huyo mwenzako Fundi Mchundo tu.
 
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

Mwnyekiti alinukuliwa akisema kila wakati wa mkutano, ccm huwapa fedha... Tafsiri baki nayo wewe!
 
Noted and answered watu tuliokuwa chadema ndio hao hao tupo chauma nao chadema is wracked
chadema siasa za makundi zimewamaliza

yaani kuna kundi linajiona lipo next to god

nilidhani hawatawanyanyasa kundi jingine kumbe i was wrong,wao vita yao kuu sio maccm tena ni hili kundi jingine

cha ajabu waliohama wengi zaidi ni wanawake,this says alot of mfumo dume na unyanyasaji uliopo chadema kwa wanawake

thats why inapoteza wanawake

shocking to them hadi waliedhani ni mfuasi mwaminifu kuliko wote na matusi juu Madereka kahama

chadema is not safe kama wanavyojishaua
 
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

Easy, mzee wa msoga in combination with chukuwachakomapema, pse give us a tick!
 
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

Bila shaka wamejiandaa kuleta upinzania dhidi ya CCM sio kama sisi tunaozira kama vitoto
 
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

Rungwe alishasema ni kodi za wananchi.
 
Back
Top Bottom