Wadhamini wa kijani wamewezeshaMaandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Eti vigogo vigogo chadema wako lissu heche mnyika lema sugu mbowe na bon yai kwa mbaliiiii sasa sijui ni kigogo yupi hapo anakuja ubwabwani.Roho inakuuma? Au una uchungu wa mimba?
..waambie tiss wasipolipa gharama za huu utakatishaji sasa wanaoufanya kuunda upinzani feki kuombea misaada..watalipa wakiwa jehanam!uko sahihi, Chadema pesa zao zinaishia kwenye whisky na nyama choma kwa mwenyekiti mpya 🐒
tone tone kidigitali na tone tone kwenye kibakuli zinaishia kwenye mipombe tu kama malofa vile 🐒..waambie tiss wasipolipa gharama za huu utakatishaji sasa wanaoufanya kuunda upinzani feki kuombea misaada..watalipa wakiwa jehanam!
Buku7 wa kijani inabidi wawe makini maana kwa sasa mnawatishia amani kwa kuchukua nafasi zao za kupigania chama kijani😄Wacha wafanye siasa za upinzani maana wengine wamechagua harakati
Labda dola ya ZimbabweWaaaaaa!
Wakuu, pameanza kuchangamka tayari!
Mara paap! CHAUMMA inashika dola!
Hupendi?Eti vigogo vigogo chadema wako lissu heche mnyika lema sugu mbowe na bon yai kwa mbaliiiii sasa sijui ni kigogo yupi hapo anakuja ubwabwani.
Maana wengine waliobaki ni wanachama wa kawaida tu wameenda kula ubwabwa wa CCM kwa muda fursa ndo hii
Ubwabwa?Hupendi?
Why wakifanya wengine tunachukia? Kwani hii si ndio demekrasia tunayoipambania?Hatimaye si tetesi Tena,genge limekamilisha ujinga wao japo hatukutarajia kwa ukosefu huu wa hata chembe ya aibu
Pilia limeiva sasa kazi kwetu kwenda kulila..Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Wezi kama wezi wengine😂Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Hela za kodi za masikini wa Tanzania zinapokwa na wajinga CCM kwenda kufanya haya maupuuzi kwa faida za CCM huku wananchi tukikosa huduma muhimu kama madawa hospitalini, maji safi na salama na miundombinu ya barabara.Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Hizo ni kodi za wananchi karne unatumia nguvu kutengeneza upinzani fake ni kujidanganya mwenyewe ukweli uwa una speed ya kombe lakini haujawai kushidwa kufika kwenye safari yake ukweli mara zote uibuka kidedea mda utasema kutumia pesa nyingi hivi wakati tunajenga matundu ya vyoo kwa msaada wa Marekani ni aibu sioni ulazima wa kutumia pesa nyingi kutengeneza upinzani fakeInawezekana kuwa wale watu wenye uwezo wa kipesa waliokuwa wanaiunga mkono CDM ya Mbowe wamehamishia nguvu zao Chaumma. Tukumbuke wengi wao walikuwa kwenye sekretariat ya CDM hivyo wanawajua watu hao. Watu hao hawawezi kuisupport CDM ya sasa ambayo inaelekea haina strategy yeyote ya kupata wanacho kidai.
Amandla...