PreGE2025 VIDEO: CHAUMMA wametoa wapi pesa? Tazama maandalizi ya Mkutano Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Inawezekana kuwa wale watu wenye uwezo wa kipesa waliokuwa wanaiunga mkono CDM ya Mbowe wamehamishia nguvu zao Chaumma. Tukumbuke wengi wao walikuwa kwenye sekretariat ya CDM hivyo wanawajua watu hao. Watu hao hawawezi kuisupport CDM ya sasa ambayo inaelekea haina strategy yeyote ya kupata wanacho kidai.

Amandla...
mawazo ya fundi mchundo
 
Hakuna hiyo. Ni pesa ya Abdul na Mama yake hiyo....
 
Aibu ya nini? Hiki ni chama cha siasa na kina Nia ya kushika dola aibu inatoka wapi sasa? Utakufa nacho kijiba cha roho!
Nia ya kushika dola ungewaona wanapelekwa ACT Zambarao,hapa chama kina nia nyingine kabisa labda ni hiyo kiliba cha roho na mtakufa nacho.Mnawafukarisha wananchi ili wahongeke kirahisi na gawanya uwatawale sasa kwa mkoloni mweusi.
 
Na wewe kumbe mpumbavu tu kama huyo mwenzako Fundi Mchundo tu.
kwahiyo pumbavu kwako wewe ni yeyote anaesapoti wanadamu wengine kuchagua mahali wanapoona kwao ni sawa kufanya siasa zao?

mwenye akili ni yule anaewatukana?

kama ni hivyo ni heri exactly niwe pumbavu according to your stupid definitions

chadema minions are so stupid mpaka it even hurts them back
 
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

CCM ya Samia ndiyo CCM ya mwisho kukaa madarakani .

Hakuna CCM tena baada ya Samia .
Baada ya uchaguzi huu Samia atauza kila kitu maana serikali itakua haina kitu hazina .

Kila kitu kitapanda bei .
Deni la taifa litapaa juu sana .
Wachina watakaa kila mahali ili kupunguza uhaba wa pesa nchini na mfumuko wa bei .

Vita ndani ya CCM itakua kubwa sana maana mpaka sasa hakuna mwenye jina kubwa wala kundi kubwa .
Mchengerwa
Riziwani
Makonda
Mwigulu
Nape
Januari
Jafo.
Polepole
Doto
Nchimbi
n.k.
Itakua ni Mshike mshike nguo kuchanika .

Wakati huo Wapinzani watakua na watu maarufu waliojenga kwa muda mrefu.

Hakuna tena CCM baada ya Saa Samia
 
Chauma mbele kwa mbele
chama la wanaaaa!

watoe lipa namba tuwatumie hela za michango kabisa

siasa za itikadi,siasa za kistaarabu,siasa za mipango,siasa za matokeo

sio siasa za makundi,matusi,utengefu,mihemko,domo,kujisifu,dharau,etc
 
kwahiyo pumbavu kwako wewe ni yeyote anaesapoti wanadamu wengine kuchagua mahali wanapoona kwao ni sawa kufanya siasa zao?

mwenye akili ni yule anaewatukana?

kama ni hivyo ni heri exactly niwe pumbavu according to your stupid definitions

chadema minions are so stupid mpaka it even hurts them back
Wewe ulikuwa nje ya mada,ulidandia hoja niliyomjibu Fundi Mchundo bila kufuatilia nilichomjibu wewe umekuja na kitu tofauti kabisa ndiyo maana nikakuona mpuuzi tu.
 
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

Kwani vyama vingine hela wanatoa wapi, acha umbea fanya mambo yako bwanamdogo
 
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

Waache wamalize fungate waingie mtaani tupambane sasa
 
Chau
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

Salumu mwalimu kahongwa mamilioni Toka ccm, Kwenda kwa mzee RUNGWE kununua chama na kuzawadiwa ukatibu mkuu
 
Back
Top Bottom