The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Kwamba ubwabwa siyo bure tena?Watakkuwa wameuza ubwabwa wa surplus
mkuu mpo emotional sana kama school girlsWe mpu.uzi huoni sura za POSHO hizo? Vijana wameokotezwa kama vile CCM inavyosomba watu kwenye mikutano yake. NO REFORMS, NO ELECTION 2025
hiyo ni kodi ya watanzania inachezewa CCM ni mshauri mkuu wa shetaniMaandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
ni kolabo ya Mzee Hashim na wazee wazAlenda wa G55Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Hao 3000 hawajaja bureKwamba ubwabwa siyo bure tena?