FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #21
Ni kweli, ila Computer zilikuwa sio autonomous kama AIHiyo ni fursa
Hata ujio wa computer watu walihofia kupoteza ajira lakini ajira nyingi zimetengenezwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, ila Computer zilikuwa sio autonomous kama AIHiyo ni fursa
Hata ujio wa computer watu walihofia kupoteza ajira lakini ajira nyingi zimetengenezwa
Maamuzi ya akili mnemba huegemea upande flani(biased) kutokana na mawazo au itikadi za aliye unda algorithm za mnemba.Nasubiri siku akili mnemba itapopewa cheo cha Urais, yaani maamuzi yote ya serikali yafanywe na akili mnemba, maana Rais wa akili mnemba hawezi kula rushwa wala kuuza mbuga wala bandari.., yeye ni maendeleo tu..
Akili Mnemba itakuwa installed na software ya katiba, na wote tutakagua kuhakikisha algorithm hairuhusu uvunjwaji wa katiba kabla mnemba hajaapishwa. Mnemba ataunganishwa moja kwa moja na ‘Gepg‘ (Government electonic payment gateway’, na hakuna hata transaction moja itakayofanyika bila yeye kujua na kuruhusu, na pesa za cash zote zitaondolewa, kila mtu atafanya malipo kwa namba yake ya NIDA iliyochapwa kwenye chipset itakayowekwa mkononi, hivyo hapatakuwa kabisa na ukwepaji kodi!Maamuzi ya akili mnemba huegemea upande flani(biased) kutokana na mawazo au itiadi za aliye unda algorithm za mnemba.
Yajayo yanafurahishaAkili Mnemba itakuwa installed na software ya katiba, na wote tutakagua kuhakikisha algorithm hairuhusu uvunjwaji wa katiba kabla mnemba hajaapishwa. Mnemba ataunganishwa moja kwa moja na ‘Gepg‘ (Government electonic payment gateway’, na hakuna hata transaction moja itakayofanyika bila yeye kujua na kuruhusu, na pesa za cash zote zitaondolewa, kila mtu atafanya malipo kwa namba yake ya NIDA iliyochapwa kwenye chipset itakayowekwa mkononi, hivyo hapatakuwa kabisa na ukwepaji kodi!
Mnemba anaweza hata akakutumia taarifa ‘telepathically’ kwa kutumia teknolojia mpya ya ‘Neuralink’ hata kama upo ndotoni..
Mnemba atakuwa connected na account zote za Bank za kila raia, hata zile za nje ya nchi, ufisadi utakuwa ‘impossible’…, kodi itakatwa na kulipwa automatically, maendeleo yatakuja kwa kasi ya 5G.., na wote tutaanza kuona kama tuko peponi..
Raia akivunja kanuni zilizowekwa kama miongozo ya Mnemba kwenye Algorithm, Mnemba anaweza akaishikilia NIDA ya raia huyo isiweze kununua wala kuuza chochote hadi pale raia huyo atakapofanya yale ambayo Mnemba anayataka na itakuwa ni kama amri, atakaebisha atakufa njaa huku anapesa kwenye bank.., hi itakuwa ni utii wa sheria bila shurti at its Finest. Yajayo yanasisimua sana..
Shida itakuja hata ukijiajiri, tayari kuna maroboti mnemba yanafanya hicho hicho unachotaka kufanya kwa gjarama ya chini na ufanisi mkubwa zaidi yako.., hata sijui itakuwaje..Tunapoelekea Kila mtu ni kujiajili sasa , hali itakua si hali
Ndio, lakini Rais Mnemba akishaapishwa, anakuwa huru kuongoza nchi ‘autonomously’ kwa kuzingatian’Algorithmic boundaries’Hio mnemba nayo inatengenezwa na binadamu
Msiache kusomesha watoto
Duh noma kakaShida itakuja hata ukijiajiri, tayari kuna maroboti mnemba yanafanya hicho hicho unachotaka kufanya kwa gjarama ya chini na ufanisi mkubwa zaidi yako.., hata sijui itakuwaje..
Hivi kumshawishi mteja anunue carton za bidhaa za kampuni AI inaweza?Shida itakuja hata ukijiajiri, tayari kuna maroboti mnemba yanafanya hicho hicho unachotaka kufanya kwa gjarama ya chini na ufanisi mkubwa zaidi yako.., hata sijui itakuwaje..