FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #41
Hivi kumshawishi mteja anunue carton za bidhaa za kampuni AI inaweza?
Siwezi. Simple.
View: https://www.instagram.com/reel/C_S8eW6SsPx/?igsh=MXE4ZmFvb2dlOGNxag==
Wewe unaweza Chinese Caligraphy kama hilo roboti?
Hahah, AI robot haitaji kukutembelea physically. Hiyo App ya instagram unayotumia inaendeshwa na AI (Special Algorithm) inayokuletea matangazo taylor made just for you, sucess rate ya kupata wanunuzi ni kubwa sana, ndio maana duniani inaongoza kwa mapato na kuifanya Facebook kuendelea kuwa juu. Unafikiria pafupi sana; na sio kwamba nakulaumu.., no, maana inawezekana elimu na exposure yako ni finyu..Siwezi. Simple.
Maroboti yanategenezwa kwa kazi maalum tu kila mahali. Sidhani kama binadam ataunda universal robot (linalofanya kila kitu). Kwamba ukiliweka kwenye gari litaendesha, jikoni litapika, litajenga nyumba kama fundi, litachora,litafanya hesabu, litaongea na watu n.k
Kuna Mangi yupo pale Manzese inabidi sales rep wa Sayona amtembelee aongee naye akubali kununua carton 500 za juice ya Fruti ambapo ndani bado kuna stock ya juice Mangi kimsingi hana uhitaji kwa muda huo sababu reorder level haijafika. Unadhani robot linaweza?
Nonetheless, mimi si mtumiaji wa Instagram na sina hiyo app kwenye simu yangu.Hahah, AI robot haitaji kukutembelea physically. Hiyo App ya instagram unayotumia inaendeshwa na AI (Special Algorithm) inayokuletea matangazo taylor made just for you, sucess rate ya kupata wanunuzi ni kubwa sana, ndio maana duniani inaongoza kwa mapato na kuifanya Facebook kuendelea kuwa juu. Unafikiria pafupi sana; na sio kwamba nakulaumu.., no, maana inawezekana elimu na exposure yako ni finyu..