Lema mwepesi sana. Huyu dada tumpe maua yakeLema peke yake ulitaka afanye nini? Polisi wangepata nafasi ya kummaliza.
Tofautisha matukio. Huyo dada nyuma yake kulikuwa na watu wengine wa kumsaidia.
Still hiyo dada ni hero Lakini pia Lema alichukua maamuzi sahihi.
Elizabeth alikuwa na nguvu nyuma yake.
Lema alikuwa peke yake. Halafu Lema aliambiwa ondoka au tutakufanya huyu. Halafu Lema alikuwa anaongea kama vile ana hangover.
Achana na huyu bwege. Ni chawa na anatamani sana wapinzani wote wafe.Lema peke yake ulitaka afanye nini? Polisi wangepata nafasi ya kummaliza.
Tofautisha matukio. Huyo dada nyuma yake kulikuwa na watu wengine wa kumsaidia.
Still hiyo dada ni hero Lakini pia Lema alichukua maamuzi sahihi.
Acha ushamba wewe kigagula mtu anazunguka kila mitaa anakuwaje target na asisikamatwe ,unapenda kuwalaza watu wogaAcheni kuwaza kwa kutumia hisia
Lema is most wanted person in the country now!
Analiwa target nalijua hilo na Nina uhakika na kuna mitego mingine mingi yaja dhidi yake !
Lema amepigania sana Tanzania si nje tu hadi ndani ya gereza !
Lema angekuwa mpuuzi angerusha ngumi!
Watu lazima tutumie akili kwanza
KIduku masema hivi:-Lema peke yake ulitaka afanye nini? Polisi wangepata nafasi ya kummaliza.
Tofautisha matukio. Huyo dada nyuma yake kulikuwa na watu wengine wa kumsaidia.
Still hiyo dada ni hero Lakini pia Lema alichukua maamuzi sahihi.
KIduku masema hivi:-
View attachment 3474170
Pale ndiyo Lema alipaswa kuonyesha ile sera ya KUKINUKISHA inavuofanyakazi.Acheni kuwaza kwa kutumia hisia
Lema is most wanted person in the country now!
Analiwa target nalijua hilo na Nina uhakika na kuna mitego mingine mingi yaja dhidi yake !
Lema amepigania sana Tanzania si nje tu hadi ndani ya gereza !
Lema angekuwa mpuuzi angerusha ngumi!
Watu lazima tutumie akili kwanza
Anza wewe kukinukisha huku kwa kutumia majina yako matatu Kama lucasPale ndiyo Lema alipaswa kuonyesha ile sera ya KUKINUKISHA inavuofanyakazi.
Huwezi kuwa mwanaharakati halafu MUOGA. Ukiwa mwoga basi acha na na siasa fanya kazi nyingine.
Hii haina excuse kabusa kusema kuwa yuko targeted. Mbona Lissu yuko rumande kwa tuhuma za uhaini??
Ukifanya biashara ya utumbo usiogope nzi!!
Nyie mashujaa wa I'd fake ni wajinga SanaBora hata wewe Uliona Hio Gesture ya Lema aisee very defensive aisee, Mi mwanzo sikujua kuwa Wala askari kanzu wanamzogoa Mwenyekiti wa Bavicha, Kwa kweli Lema alizingua sana angefanya Vurugu nae aisee
Huwa nawaza inawezekana Lema ni Mpango wa The Old Chairman awepo chamani kwenye top position Ili kumonitor yanayoendelea chamani Ile Hali wenye Chama chao wakijipanga namna ya Kurejea au Kurudisha mtu wa Mlengo wao
Lema haaminiki hata kidogo
Keyboard hero fake id ni wajinga SanaSiasa Za maji taka.
Mpaka hapo lena bado Yuko sahihi, Ulitaka aanze kupigana na askari bila kujua hata kinaendelea nini? Unajua mwisho wake ingekuaje, Huoni wote wangekua kwenye kibano hapo akosekane hata wa kutoa dhamana?
Acheni chuki za kiwaki