Video clips: Godbless Lema mwoga dhidi ya Elizabeth Mambosho jasiri

Video clips: Godbless Lema mwoga dhidi ya Elizabeth Mambosho jasiri

Acheni kuwaza kwa kutumia hisia
Lema is most wanted person in the country now!
Analiwa target nalijua hilo na Nina uhakika na kuna mitego mingine mingi yaja dhidi yake !

Lema amepigania sana Tanzania si nje tu hadi ndani ya gereza !

Lema angekuwa mpuuzi angerusha ngumi!

Watu lazima tutumie akili kwanza
Hapo sasa ndiyo unatuhakikishia kuwa uwezo wa Godbless Lema ni kuhamasisha kwenye mitandao, tukija ground Lema ni MCHUMBA tu
 
Wakati Adv Mahinyila akipambana na Polisi, Godbless Lema akajifanya busy anakwenda kwa Msajili wa Mahakama Kuu. Angalia clip hapa:-
View attachment 3474090

Wakati huohuo Elizabeth Mambosho mwanamama mjumbe wa mkutano mkuu CDM aliweza kumuokoa mwananchi kwenye kundi la askari 30. Angalia clip hapa:-
View attachment 3474102

Chuma hiki hapa;-
View attachment 3474103

IMG-20250917-WA0001.jpg
 
Ule ulikuwa mtego na mtetea Lema kwa hili , Lema ni miongoni mwa watu ambao wapo katika rada za watu flani humu tz au kwa lugha nyingine katika mpira wa miguu ana kadi mbili za njano sasa ulewake ajichanganye anakula red na yeye ni kiuongo muhimu katika mchezo ,hata yeye analijia hilo ndio maana anajitahidi kuzitawa hisia zake ili kuepuka mitego anayo tengenezewa.
 
Kumbe ni muoga!! Basi umejibu vizuri
 
Pale ndiyo Lema alipaswa kuonyesha ile sera ya KUKINUKISHA inavuofanyakazi.

Huwezi kuwa mwanaharakati halafu MUOGA. Ukiwa mwoga basi acha na na siasa fanya kazi nyingine.

Hii haina excuse kabusa kusema kuwa yuko targeted. Mbona Lissu yuko rumande kwa tuhuma za uhaini??

Ukifanya biashara ya utumbo usiogope nzi!!
You sound so stupid, kwani Lissu yuko gerezani kwa kurushiana ngumi na polisi au Lema katika harakati za kupambania democracy hajawahi kuwekwa gerezani?
You're trying so hard to bring negativity but it won't work.
 
Lema peke yake ulitaka afanye nini? Polisi wangepata nafasi ya kummaliza.

Tofautisha matukio. Huyo dada nyuma yake kulikuwa na watu wengine wa kumsaidia.

Still hiyo dada ni hero Lakini pia Lema alichukua maamuzi sahihi.
Sio kweli.
 
You sound so stupid, kwani Lissu yuko gerezani kwa kurushiana ngumi na polisi au Lema katika harakati za kupambania democracy hajawahi kuwekwa gerezani?
You're trying so hard to bring negativity but it won't work.
Hakuenda gerezani kwa sababu ya kupigania haki bali kuropoka
 
Hakuenda gerezani kwa sababu ya kupigania haki bali kuropoka
Screenshot_20250918-180822.jpg
Screenshot_20250918-180858~2.jpg
Screenshot_20250918-181030.jpg

I've just noticed someone has gone too personal on attacking Lema hapa JF, the fact kwamba anapambania democracy than most of us tunaoshiriki mijadala humu kwa hilo big salute to his fighting spirit.
Spinning games can't work when dealing with brilliant minds.
 
Lema aliwahi kusema hawezi kukaa front line kwenye maandamano maana yeye ni target akijichanganya tu wanamvunja miguu!😁
 
At most anapambania tumbo lake na familia yake tu. Labda wewe ni mgeni na Lema
That’s your own damn opinion, wala haujui ninamfahamu kwa kiasi gani and still you’re judging. So Pathetic.
Jifanye pia unamfamu zaidi watu wote wa inner circle ya ndani ya chama chake kwa namna wanavyomuamini.
 
Lema aliwahi kusema hawezi kukaa front line kwenye maandamano maana yeye ni target akijichanganya tu wanamvunja miguu!😁
Unakaanga pilipili halafu unaogopa kuwashwa. Hizo sasa siyo siasa bali ni kutaka kuwajaza jazba watoto wa wenzie huku wa kwake wako Canada wanasoma na kulelewa na wazungu
 
That’s your own damn opinion, wala haujui ninamfahamu kwa kiasi gani and still you’re judging. So Pathetic.
Jifanye pia unamfamu zaidi watu wote wa inner circle ya ndani ya chama chake kwa namna wanavyomuamini.
Nani asiyemfahamu Lema? Mimi namjua tangu akiwa mwizi wa magari Arusha. Wewe umemjua lini?
 
Nani asiyemfahamu Lema? Mimi namjua tangu akiwa mwizi wa magari Arusha. Wewe umemjua lini?
Unamjua kwa background that everybody knows ndiyo unakuja mbiombio namjua namjua, you’re definitely a nonessential tremor case.
Apart from car dealings kipi kingine tujue unamfahamu, close friends or close relatives or close business associates wake ni wapi unaowafahamu to support your argument.
 
Kingine ni kwamba hajasoma. Kaishia Form IV tu. Wezi wenzie wa magari ndiyo close friends wake, akina Chonjo pale Arusha
 
Back
Top Bottom