prince alex khalifa
JF-Expert Member
- Aug 20, 2025
- 424
- 498
Luna utofauti Kati ya Lena na wewe lema anatoka hadharani wewe unaishia kwa keyboard
It's likely hata Arusha yenyewe unaijua juu juu tu, you so desperate at pushing your personal agenda but it ain't gonna work.Kingine ni kwamba hajasoma. Kaishia Form IV tu. Wezi wenzie wa magari ndiyo close friends wake, akina Chonjo pale Arusha
Nimekaa Arusha kikazi kama mara 2. Kwanza mwaka 1987-8 baada ya ku graduate. Niliishi Sanawari. Bar ya akina Chonjo ilikuwa inaitwa Barracuda pale mjini kati.It's likely hata Arusha yenyewe unaijua juu juu tu, you so desperate at pushing your personal agenda but it ain't gonna work.
The fact he has been and still fighting for democracy, human rights and civil rights and it outshine all the flops whatsoever.
Hata haujui A level kasomea wapi unadai unamjua? Just that simple back ground na bado hakuishia hapo.Kingine ni kwamba hajasoma. Kaishia Form IV tu. Wezi wenzie wa magari ndiyo close friends wake, akina Chonjo pale Arusha
Toka eighties niko nje ya Africa kama unataka kujua nilikuwa wapi na Arusha is my second home kwa TZ baada Dar, hiyo ni town yangu hata nikae 20yrs bila kufikia.Nimekaa Arusha kikazi kama mara 2. Kwanza mwaka 1987-8 baada ya ku graduate. Niliishi Sanawari. Bar ya akina Chonjo ilikuwa inaitwa Barracuda pale mjini kati.
Mwaka 1993-96, nilikuwa naishi Sakina. Baada ya hapo nimekuwa nikitembelea Arusha kikazi kuanzia 2000 hadi 2016 siyo chini ya mara 5 kwa mwaka. Sijui wewe wakati huo ulikuwa wapi
Hiyo haubadilishi status ya kuwa Lema ni mwizi wa magariToka eighties niko nje ya Africa kama unataka kujua nilikuwa wapi na Arusha is my second home kwa TZ baada Dar, hiyo ni town yangu hata nikae 20yrs bila kufikia.
I know every Jack and Jill of who is who in A town.
Wewe ni nani kumtetea Lema kwa nguvu zote hizi? Habari za Lema mbona siyo mpya hapa JF!!! Labda wewe ndiyo mgeniYou sound so stupid, kwani Lissu yuko gerezani kwa kurushiana ngumi na polisi au Lema katika harakati za kupambania democracy hajawahi kuwekwa gerezani?
You're trying so hard to bring negativity but it won't work.
Labda nilikuwa nashirikiana naye kuiba magari, friends in crime kama ilivyo kwa Kikwete na Rostam.Wewe ni nani kumtetea Lema kwa nguvu zote hizi? Habari za Lema mbona siyo mpya hapa JF!!! Labda wewe ndiyo mgeni
Hapo sawa, criminal recognises a criminalLabda nilikuwa nashirikiana naye kuiba magari, friends in crime kama ilivyo kwa Kikwete na Rostam.
Exactly, birds of the feathers.Hapo sawa, criminal recognises a criminal
Turudi hapa tenaAcheni kuwaza kwa kutumia hisia
Lema is most wanted person in the country now!
Analiwa target nalijua hilo na Nina uhakika na kuna mitego mingine mingi yaja dhidi yake !
Lema amepigania sana Tanzania si nje tu hadi ndani ya gereza !
Lema angekuwa mpuuzi angerusha ngumi!
Watu lazima tutumie akili kwanza