Video clips: Godbless Lema mwoga dhidi ya Elizabeth Mambosho jasiri

Wewe ulikuwa wapi? Kwa nin wewe huku fanya hayo
 
Kingine ni kwamba hajasoma. Kaishia Form IV tu. Wezi wenzie wa magari ndiyo close friends wake, akina Chonjo pale Arusha
It's likely hata Arusha yenyewe unaijua juu juu tu, you so desperate at pushing your personal agenda but it ain't gonna work.
The fact he has been and still fighting for democracy, human rights and civil rights and it outshine all the flops whatsoever.
 
Nimekaa Arusha kikazi kama mara 2. Kwanza mwaka 1987-8 baada ya ku graduate. Niliishi Sanawari. Bar ya akina Chonjo ilikuwa inaitwa Barracuda pale mjini kati.

Mwaka 1993-96, nilikuwa naishi Sakina. Baada ya hapo nimekuwa nikitembelea Arusha kikazi kuanzia 2000 hadi 2016 siyo chini ya mara 5 kwa mwaka. Sijui wewe wakati huo ulikuwa wapi
 
Kingine ni kwamba hajasoma. Kaishia Form IV tu. Wezi wenzie wa magari ndiyo close friends wake, akina Chonjo pale Arusha
Hata haujui A level kasomea wapi unadai unamjua? Just that simple back ground na bado hakuishia hapo.
Either way it's not even a big deal, the big question is why personal attacks?
 
Toka eighties niko nje ya Africa kama unataka kujua nilikuwa wapi na Arusha is my second home kwa TZ baada Dar, hiyo ni town yangu hata nikae 20yrs bila kufikia.
I know every Jack and Jill of who is who in A town.
 
Hiyo haubadilishi status ya kuwa Lema ni mwizi wa magari
 
Hata haujui A level kasomea wapi unadai unamjua? Just that simple back ground na bado hakuishia hapo.
Either way it's not even a big deal, the big question is why personal attacks?
Kwenye wizi wa magari unaita personal attack?
 
You sound so stupid, kwani Lissu yuko gerezani kwa kurushiana ngumi na polisi au Lema katika harakati za kupambania democracy hajawahi kuwekwa gerezani?
You're trying so hard to bring negativity but it won't work.
Wewe ni nani kumtetea Lema kwa nguvu zote hizi? Habari za Lema mbona siyo mpya hapa JF!!! Labda wewe ndiyo mgeni
 
Wewe ni nani kumtetea Lema kwa nguvu zote hizi? Habari za Lema mbona siyo mpya hapa JF!!! Labda wewe ndiyo mgeni
Labda nilikuwa nashirikiana naye kuiba magari, friends in crime kama ilivyo kwa Kikwete na Rostam.
 
Turudi hapa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…