GE2025 Video: Coaster zaidi ya 100 kwenda Moshi kuzika wanaodaiwa kuuawa wakati wa uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
We andika tu historia,kwamba 2025 walevi waliojaa chuki za kidini toka kaskazini mashariki mwa Tanzania,walianzisha vurugu huko dar es salaam,walifumuliwa sana
Msiba wa kawaida ukiwa kwa mwingine. Kaa kimya tu acha kushabikia Mauaji ya halaiki. Polisi walikua na uwezo wa kuwakamata waandamanaji, na si kuwapiga risasi.
 
Inasikitisha sana 😢
 
Samuya na genge la magaidi wa abdul wameua watu wengi sana ,hapo ni mkoa mmoja tu bado mikoa mingine.
 
Wachaga ndio mlianzisha Heka Heka izo maeneo ya Kimara, Mbezi mmejaa sana na Kule Makongo
 
Hivi hakuna wachawi wabobevu watuondolee huo mkosi hapo ikulu?
Huyo anaondolewa na Mungu sio muda,wala msitumie nguvu nyingi,we subiri kumuona nchimbi akitangaza kwenye Luninga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…