Ngoja nisome comments kwa kweliHarakati za Kuwatekenya Misukule..
Ngoja nisome comments kwa kweliHarakati za Kuwatekenya Misukule..
sifi mimi kabla 120Nasikia umekufa
Kafulila a chungu we kwa rushua aliopokea kutoka kwa yule muhindi bandari aitwae ADANI!Anaeleza mafanikio kama nani?
PPP yake imefikia wapi kwenye ujenzi wa barabara ya njia 6 kutoka Kibaha hadi Chalinze?
hiyo alikuwa bado hajawa mkurungeziKafulila a chungu we kwa rushua aliopokea kutoka kwa yule muhindi bandari aitwae ADANI!
sio kweli kuna kitu wewe hufahamuUnaonaje ukatutolea huu upuuzi wako, maaana mafanikio hayana haja ya kuelezewa kwa muda mreeeefu
ndio nini hiyo?Drama za kisiasa, shape shifting. 🤸🤸🤸
DpWorld ndio alikuwa bado kuwa mkurugenzi lakini hii ya ADANI Tumbili amelamba!hiyo alikuwa bado hajawa mkurungezi
sio kweliNjaa mbaya sana
Nimesikia nimeamini (Kusikia ni kuamini)sifi mimi kabla 120
SAFINimesikia nimeamini (Kusikia ni kuamini)
Wote hawa ni chawa wa CCM, wanafanya hivi kwa ajili ya njaa zao. Nani asiyewajua hawa jinsi walivyo?Mbwa koko ktk kuokoteza uchafu wa kipapai
Mmejaa ninyi machawa wa CCM. Sishangai.tuko hapa tumejaaa
karibu CCMMmejaa ninyi machawa wa CCM. Sishangai.