Video: Deontay Wilder Akisema Nilichosema Juu Ya Mike Tyson

Evander mwenyewe ashawahi kuwa Undisputed mpaka last time ni Lennox Lewis. Lakini wakati wanapambana Evender alikuwa amemzidi Tyson miaka 4 tayari.so umri wa Evander ulikuwa mkubwa hivyo Tyson alitegemewa kuwa vizuri zaidi kwa kigezo cha Umri na uzoefu kwenye heavyweights Tyson alitengenezwa sana kwa kupewa journey men boxers na wengine wazee akina larry holmes,spinks etc.

Ukiacha wale wajinga wengine waliokuwa wakihongwa pesa wa dive kumpa ushindi mike tyson. Sisemi alikuwa mbaya.ila was over rated. Alikosa sana stamina/pumz.


 
Kumbe hata boxing hujui..
Unamjua frank Bruno?Kapigwa mara mbili
Unamjua Razor radock?Mara mbili kapigwa

Huyo Jamaa Boxing haijui, yaani The Undisputed World Heavyweight Champion ktk 20yrs anasema anabebwa?
 
Huyo Jamaa Boxing haijui, yaani The Undisputed World Heavyweight Champion ktk 20yrs anasema anabebwa?
Wewe unayejua boxing si ujibu sasa swali kuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…