Video: Deontay Wilder Akisema Nilichosema Juu Ya Mike Tyson

Video: Deontay Wilder Akisema Nilichosema Juu Ya Mike Tyson

Evander mwenyewe ashawahi kuwa Undisputed mpaka last time ni Lennox Lewis. Lakini wakati wanapambana Evender alikuwa amemzidi Tyson miaka 4 tayari.so umri wa Evander ulikuwa mkubwa hivyo Tyson alitegemewa kuwa vizuri zaidi kwa kigezo cha Umri na uzoefu kwenye heavyweights Tyson alitengenezwa sana kwa kupewa journey men boxers na wengine wazee akina larry holmes,spinks etc.

Ukiacha wale wajinga wengine waliokuwa wakihongwa pesa wa dive kumpa ushindi mike tyson. Sisemi alikuwa mbaya.ila was over rated. Alikosa sana stamina/pumz.


We ndo hujui ngumi kabisa
Tyson alikuwa bingwa wa dunia undisputed
Evander alikuwa bingwa wa cruiserweight.
Nenda uka Google miaka ambayo evander alikuwa bingwa IBF cruiserweight..

Evander akaenda fanya HGH procedure kuongeza uzito aje heavyweight na aongeze muscles.. procedure ikamletea matatizo ya Moto baadae ..ikabidi afanyiwe operations ya moyo...

Evander ni fluke...na ana bahati aliekutana na Tyson wakati Tyson keshaisha
 
Kumbe hata boxing hujui..
Unamjua frank Bruno?Kapigwa mara mbili
Unamjua Razor radock?Mara mbili kapigwa

Huyo Jamaa Boxing haijui, yaani The Undisputed World Heavyweight Champion ktk 20yrs anasema anabebwa?
 
Huyo Jamaa Boxing haijui, yaani The Undisputed World Heavyweight Champion ktk 20yrs anasema anabebwa?
Wewe unayejua boxing si ujibu sasa swali kuu?
 
Back
Top Bottom