Kwa kucheza huku kwa nini jukwaa lisiangungeWakati akiwa jukwaani akiperform huko Sumbawanga, ghafla jukwaa lilivunjika lakini kwa bahati nzuri hamna aliyepoteza maisha zaidi ya Diamond kuteguka kiuno na hivyo kuwaishwa Dar kwa helkopta kwa matibabu zaidi.
Wale Wazee wa Radi watakuwa washakufa
Kuna Siku walijaribisha Mtambo wa Radi Kwenye Meza kuu ya Mh. Waziri Mkuu Na Makamu wa kwanza wa Rais Mh. Dkt John Samwel Malecela Mjini Sumbawanga 1991
Mbeya! Wako kwanza kwenye Upinzani wa kila kitu wanaamini wanajua na wana uelewa wa kila jambo. Hivyo huenda wameachwa kwanza wakae sawa.!
Jiji linazidi kurudi nyuma tu hakuna maendeleo ya maana.! Leo ukiangalia Arusha ilivyo ukafananisha na Mbeya unaweza kujipima pale Mbeya ilipo na itakapokuwepo miaka kumi ijayo.
Nadhani kuna umuhimu wa kutumia sound engineer na professional designer wa majukwaa, hilo jukwaa lipo chini ya kiwango mno ukilinganisha na umuhimu wa diamond. Pole zake, we wish him a quick recoveryLakini aligunduaa mapema ila akajisahau na mizukaa make niliona ata babu tale alifika kuona hiyo sehem kama ambavyo diamond alionesha kuwa na mashaka napoView attachment 962039
C unajua tena wabongo kwa shobo?Kwa hiyo katika wote hao wee umemwona diamond tuu kwani alikuwa pekeake hapo jukwaani?
Sam wa ukweliWabongo kwa kuamini ushirikina hawajambo. Mtu anaweza kufa kwa ngoma bado wataamini amerogwa
Kiki za kipumbavu izo.
Yani unaona kabisa anaruka ruka maliciously ili kuvunja jukwaa afu pipo still buy it??...
Anajifanya kama ule mwaka 2003 kwenye WWE Smackdown BROCK LESNAR V BIG SHOW walivunja jukwaa???
Pipo prefer somethings real siku izi.
Aache uswahili huyo....
walikua wanacheza ngoma gani mbona walikua wanaruka kama wamasai, lol ila nimecheka sijui kwanini hasa pale Mbosso alipowachungulia was like "are you guys okay?" then "do we fucking look okay??"
[emoji23][emoji23][emoji23]