Video: Diamond ajirekodi video akiwa na Hamisa pamoja na Mzungu anayesemekana ni mpenzi wake mpya

Na huyu ndo rafiki na mshauri wa Rais Magufuli kuhusu mambo ya sanaa!
 
Wanawake tunapenda wanaume wenye money,power,fame hiki kitu kinafanya utu wetu upotee,,yaan hata daimond leo atoe video akitomba mtu na amtukane lakin utaona kesho anapata wengine na wanajitapa,,
Ila daimond bana nasikia mtamu kweli halaf mauno anayajua so unapata vingii umaarufu,kudhalilishwaa ila ndo hawezi kuwa na mwanamke mmoja
 
Huyu kijana Hana Washauri? Na Kama Wapo wanamshauri nini? Mwanaume kamili hawezi shindana na mwanamke, diamond Amekosa Kifua kabisa shame!! Ila akumbuke kuna Kesho pia na aache upumbavu wa kudhalilisha wanawake, enternet never forgets
Kaka wizira na basata ndio wamempa ubalozi wa maadili kwa wasanii,labda ndio maadili yenyewe [emoji16]
 
Mapenzi yalivyo ukute uko Zari anataka hadi kupasuka kifua akitamani warudiane na huyu mtandale [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa menejiment kazi yake hasa ni ipi maana huu upumbavu kwa namna moja ama nyingine una athari kwa kazi zake
 
Ameshangaa mameneja kuruhusu huu uchafu urushwe kwenye kadamnasi na kuwa mbwiga hata watoto wake wameanza kumsahau hajawaona muda sasa
Huyo zari atulie amuache kijana atumie pesa zke umri wke bado,yeye alishakula ujana wke akamaliza
 
Alizidi nimeshangaa snap ya jana kamuita 'dummy' na analalamika mond haendi kuona watoto,nikajiuliza anakumbuka kipind ana hang na mond alivyowaacha watoto na Ivan???
Auze nyumba hiyo alee watoto,yeye alimkubali kijana kwa kutamani pesa zke wkti chibu umri wa kufanya starehe ndio huu
 
Hiyo nyumba aliyonunua sauz ni gharama kubwa kuliko ghetto la madale,huyo zari aache kumsumbua auze nyumba alee watoto
 
Halaf wanawake nao hatunaga akili unaona mwanaume anadhalilisha wenzio nawe unaenda pale pale kujiweka sie huwa tumerogwa hakii hujui na we siku moja yatakurudiaa msemo
Cc amu
Shida ni hela,hata zari alimpendea pesa mpka kumzalia akijua uwezo wa kulea watoto anao,shida iliyopo ni zari keshakula raha sana kwenye umri wke,chibu anatafuta pesa kwa jasho lake umri bdo ache awatafune wadada wazuri
 
Akakujibu niambie,wanawake kazi yao lawama tu ila kiroho wanamtamani kinoma
 
Hiyo nyumba aliyonunua sauz ni gharama kubwa kuliko ghetto la madale,huyo zari aache kumsumbua auze nyumba alee watoto
Kma karanga sio zake, perfume sio zake, wasafi tv sio yake. Na nyumba sauzi itakua yake [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kma karanga sio zake, perfume sio zake, wasafi tv sio yake. Na nyumba sauzi itakua yake [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hayo ni maneno ya kanga,hata kma wanatumia brand yke akipewa 10% tu ni pesa nyingi anapata,kwa umri wke 28yrz vijana wangapi wana uwezo huo.pili ujana wke ndio anautumia sasahivi zari yeye kesha pambana sana na kula raha aache wivu
 
Ujana maji ya moto. Lakini wapo wanaume kibao wenye 28 lakini hawafanyi anayofanya diamond.

Kama shabiki wake sio kila siku ndio mzee. Siku akikosea lazim ushtuke
 
Ujana maji ya moto. Lakini wapo wanaume kibao wenye 28 lakini hawafanyi anayofanya diamond.

Kama shabiki wake sio kila siku ndio mzee. Siku akikosea lazim ushtuke
Hilo ndio tatizo lake ulimbukeni na uswahili,zari nae walewale umri wote ule alikua anapost video ya faragha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…