witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Meonaaa eehTwaliweza wenyewee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meonaaa eehTwaliweza wenyewee
Small mind discuss people....
Wanawake tunapenda wanaume wenye money,power,fame hiki kitu kinafanya utu wetu upotee,,yaan hata daimond leo atoe video akitomba mtu na amtukane lakin utaona kesho anapata wengine na wanajitapa,,Tuseme ukweli hivi kuna msichana/ mwanamke asiye penda kuwa na mahusiano na diamond?
Hivi hakuna asasi za kiraia zinashughulika na mambo kama haya hii ni kama udhalilishaji kwa mwanamke...
Wanawake naona kama mnajidhalilisha wenyewe yaani shida tupu
Ameshasema UKIBANWA JAMBAA UKIACHWA JUA KUACHIKA dai ananipa rahaBora umesemaa ww kilaa mtu apambane na maishaa yake yasiiiume familiaa yake yaje yawaume wao wakendege huko
Kaka wizira na basata ndio wamempa ubalozi wa maadili kwa wasanii,labda ndio maadili yenyewe [emoji16]Huyu kijana Hana Washauri? Na Kama Wapo wanamshauri nini? Mwanaume kamili hawezi shindana na mwanamke, diamond Amekosa Kifua kabisa shame!! Ila akumbuke kuna Kesho pia na aache upumbavu wa kudhalilisha wanawake, enternet never forgets
Huyo zari atulie amuache kijana atumie pesa zke umri wke bado,yeye alishakula ujana wke akamalizaAmeshangaa mameneja kuruhusu huu uchafu urushwe kwenye kadamnasi na kuwa mbwiga hata watoto wake wameanza kumsahau hajawaona muda sasa
Auze nyumba hiyo alee watoto,yeye alimkubali kijana kwa kutamani pesa zke wkti chibu umri wa kufanya starehe ndio huuAlizidi nimeshangaa snap ya jana kamuita 'dummy' na analalamika mond haendi kuona watoto,nikajiuliza anakumbuka kipind ana hang na mond alivyowaacha watoto na Ivan???
Hiyo nyumba aliyonunua sauz ni gharama kubwa kuliko ghetto la madale,huyo zari aache kumsumbua auze nyumba alee watotoDiamond kweli ameni disappoint. Mwanamke pekee anayemuheshimu ni mama yake mzazi tu. Anasahau pia ana mtoto wa kike. Ana matatizo gani huyu kijana??
Anajisahau sana lakini yakimfika siku atakumbuka. Mimi kama shabiki wake bora nihamie kwa dogo janja tu
Shida ni hela,hata zari alimpendea pesa mpka kumzalia akijua uwezo wa kulea watoto anao,shida iliyopo ni zari keshakula raha sana kwenye umri wke,chibu anatafuta pesa kwa jasho lake umri bdo ache awatafune wadada wazuriHalaf wanawake nao hatunaga akili unaona mwanaume anadhalilisha wenzio nawe unaenda pale pale kujiweka sie huwa tumerogwa hakii hujui na we siku moja yatakurudiaa msemo
Cc amu
Akakujibu niambie,wanawake kazi yao lawama tu ila kiroho wanamtamani kinomaTuseme ukweli hivi kuna msichana/ mwanamke asiye penda kuwa na mahusiano na diamond?
Hivi hakuna asasi za kiraia zinashughulika na mambo kama haya hii ni kama udhalilishaji kwa mwanamke...
Wanawake naona kama mnajidhalilisha wenyewe yaani shida tupu
Kma karanga sio zake, perfume sio zake, wasafi tv sio yake. Na nyumba sauzi itakua yake [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hiyo nyumba aliyonunua sauz ni gharama kubwa kuliko ghetto la madale,huyo zari aache kumsumbua auze nyumba alee watoto
Umri wke ndio wakula burudani,zari keshamaliza kula ujana anasubiria nssf yke tuTwaliweza wenyewee
Hayo ni maneno ya kanga,hata kma wanatumia brand yke akipewa 10% tu ni pesa nyingi anapata,kwa umri wke 28yrz vijana wangapi wana uwezo huo.pili ujana wke ndio anautumia sasahivi zari yeye kesha pambana sana na kula raha aache wivuKma karanga sio zake, perfume sio zake, wasafi tv sio yake. Na nyumba sauzi itakua yake [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ujana maji ya moto. Lakini wapo wanaume kibao wenye 28 lakini hawafanyi anayofanya diamond.Hayo ni maneno ya kanga,hata kma wanatumia brand yke akipewa 10% tu ni pesa nyingi anapata,kwa umri wke 28yrz vijana wangapi wana uwezo huo.pili ujana wke ndio anautumia sasahivi zari yeye kesha pambana sana na kula raha aache wivu
Hilo ndio tatizo lake ulimbukeni na uswahili,zari nae walewale umri wote ule alikua anapost video ya faraghaUjana maji ya moto. Lakini wapo wanaume kibao wenye 28 lakini hawafanyi anayofanya diamond.
Kama shabiki wake sio kila siku ndio mzee. Siku akikosea lazim ushtuke