PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Amelegezwa!!!!Jembe hilo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amelegezwa!!!!Jembe hilo...
Ingia kwenye nane zake utamjua vizuri...kama hajakukanyaga mpaka uha_eAmelegea legea na amekuwa lege lege sana siku hizi, ubabe kwishnei.
Kura yako tunaiomba ndugu tuijenge Tanzania yetu! Mpe jembe Magu hizo ndoto utaziona! Kuwa sehemu ya kutimiza hizo ndoto zako ndugu usisubiri mpaka ss tuzitimize ndo utuunge mkono! Naamini nimekuomba kura kwa staha ndugu yetu au siyo🙏!Jiwe siku akituambia ndege zetu zinabeba watalii kutoka wapi ?,na Ulaya ,Canada na USA haziend kwenye watali wengi .Nitampa kura yangu.
Wewe Bagamoyo post endelea kujidanganya eti CCM haina sera! Ilani yao imesheheni mambo yote ambayo Watanzania wanataka kusikia, kurasa 303. Muziki katika kampeni upo kwa kusherehekea mambo mazuri yaliyofanywa miaka mitano iliyopita kwa lugha ya usanii na vile vile kueleza mazuri yanayokuja miaka mitano ijayo. Najua muziki huu unakuudhi maana wananchi wanafurahia kwa kuelewa uongo wenu. Hatudanganyiki na uongo wenu. Muziki unaendelea.Hoja hamna, naona picha zaonesha kampeni imemmaliza mwili mgombea wa CCM, John Magufuli amepungua sana pamoja ya kuwa ni rais lakini haisaidii kweli kampeni hii ya 2020 ni ngumu.
Vipi hiki chama kongwe kukosa sera za kuwaambia wananchi na kuishi kupiga Muziki huko kote alipopita mgombea John Magufuli wa CCM.
Subiri apite 😂😂Amelegea legea na amekuwa lege lege sana siku hizi, ubabe kwishnei.
Nini kifanyike?Dah nilikuwa dodoma mjini na gari tulisimamishwa karibia lisaa lizima tokea saa 7 mchana Hadi saa 8 kupisha msafara wake kusema kweli sio fair mmnaoratibu hii misafara embu tumieni logic sio vizurii kuwasimamisha watu muda mrefu (lisaa lizima) kisa kiongozi anataka kupita dalalala nyingi niliona zimepata hasara manake abiria wengi walikuwa wanashuka wanapanda pikipiki kuwahi kwenye shughuli zao kusema ukweli wananchi waliudhika sana.
Mtu anaomba kura akipitishwa akiwa anapita barabarani mnasimamishwa lisaa lizima ile apite yeye na msafara wake wa zaidi ya magari 50 pamoja na zahanati inayotembea halafuanajinasibu eti mimi mtumishi wenu
Angekuwa mtumishi kweli asingethubutu kuwasimamisha wananchi (mabosi) barabarani ili apite yeye
mim ni Cdm ila kwa hil nakupinga.ndege ndio alama na nembo yetu.
Halafu anatafuta kura...hili likatiba letu nilikitabu la Aina gani?Dah nilikuwa dodoma mjini na gari tulisimamishwa karibia lisaa lizima tokea saa 7 mchana Hadi saa 8 kupisha msafara wake kusema kweli sio fair mmnaoratibu hii misafara embu tumieni logic sio vizurii kuwasimamisha watu muda mrefu (lisaa lizima) kisa kiongozi anataka kupita dalalala nyingi niliona zimepata hasara manake abiria wengi walikuwa wanashuka wanapanda pikipiki kuwahi kwenye shughuli zao kusema ukweli wananchi waliudhika sana.
Mtu anaomba kura akipitishwa akiwa anapita barabarani mnasimamishwa lisaa lizima ile apite yeye na msafara wake wa zaidi ya magari 50 pamoja na zahanati inayotembea halafuanajinasibu eti mimi mtumishi wenu
Angekuwa mtumishi kweli asingethubutu kuwasimamisha wananchi (mabosi) barabarani ili apite yeye
Mwenyekiti wa saccos yuko wapi?. Sio yule aliyelegea mpaka akavunjika mguu, nyie wana hatari Sana. Na bado, Oct 28 lazima kieleweke. Magufuli tano tena.Amelegea legea na amekuwa lege lege sana siku hizi, ubabe kwishnei.
Kura yako tunaiomba ndugu tuijenge Tanzania yetu! Mpe jembe Magu hizo ndoto utaziona! Kuwa sehemu ya kutimiza hizo ndoto zako ndugu usisubiri mpaka ss tuzitimize ndo utuunge mkono! Naamini nimekuomba kura kwa staha ndugu yetu au siyo🙏!
Umeelewa hoja wewe Mataga?mim ni Cdm ila kwa hil nakupinga.ndege ndio alama na nembo yetu.
Wapinzani wana edit picha zao. Huku mgombea urais kwa tiketi ya Ccm ana chezeshwa miziki ya kipuuzi na wasio jua kusoma na kuandika. Shikamoo TL.. Shikamoo Chadema. Jamaa pumzi ina kata..
Mimi na familia yangu pamoja na watanzania wanaojielewa tunasema kwa pamoja kuwa HATUMTAKI JIWE, KURA ZETU KWA MH LISSUKura yako tunaiomba ndugu tuijenge Tanzania yetu! Mpe jembe Magu hizo ndoto utaziona! Kuwa sehemu ya kutimiza hizo ndoto zako ndugu usisubiri mpaka ss tuzitimize ndo utuunge mkono! Naamini nimekuomba kura kwa staha ndugu yetu au siyo[emoji120]!
Ni awamu ipi ambayo jiwe alikataliwa huko Kagera mpaka kuzomewa?Chuma kimerudi Makao Makuu ya Chama na Serikali kwa Mapumziko Mafupi kabla ya kuanza Kampeni raundi ya 3.
Amepiga raundi ya pili kwa kishindo na ushindi Mkubwa mno.
Tukutane 28 October tuwanyooshe [emoji91][emoji91][emoji91]
Coordination ifanyike vizuri kusiwe na kuchelewashana barabarani ijulikane msafara upo wapi na utachukua muda gani kupita point flani haiwezekani msafara upo bahi huko, dodoma mjini kote magari yamesimamishwaNini kifanyike?
Wewe ni wale wanafikiri ngege ni kama mapambo. Hawaoni faida kutokana vibaraka wa mabeberu kuwapotosha. Wanajidai kudai maji baada ya kupiga hela kwa dili zilizojaa ufisadi wa kila aina. Roho zinauma baada ya kutumbuliwa wezi serikalini na fedha kuelekezwa kwenye miradi yenye faida kwa umma.Umesema kweli ,ila kwa sasa Tanzania ilikuwa hahitaji ndege ,huduma za maji na afya bado ni changamoto ,, je hizo ndege mwanaichi wa Mpanda anafaidikaje nayo!! Bila kupepesa macho Serekali yetu ingefanya vitu vyenye umuhimu kwanza kama Barabara ,maji ,afya etc,, ndo ije kwenye mandege hayo .