Video: DRC itakuwa ni jeshi dhaifu kama inapokea wapiganaji namna hii katikati ya uwanja wa vita. M23 na Kikundi cha magaidi wameitesa DRC siku ya leo

Video: DRC itakuwa ni jeshi dhaifu kama inapokea wapiganaji namna hii katikati ya uwanja wa vita. M23 na Kikundi cha magaidi wameitesa DRC siku ya leo

BAKIIF Islamic

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2021
Posts
600
Reaction score
1,843
MASISI DRC: Mtu 1 amekufa (msichana mdogo) na kujeruhiwa katika kuanguka kwa bomu jipya karibu na Sake Alhamisi hii, Aprili 4, 2024. Bomu hilo limerushwa na wapiganaji wa M23 kutoka vilima vya BWEREMANA na Muremure.

1712233726491.png

.....
Pia mbali na M23 kuna Kikundi cha magaidi ambao wanajinasibisha na Uislam, kinaendelea kuleta ukiwa ndani ya wakazi wa Mangina katika eneo la Beni. Magaidi yanachafua sana taswira ya uislam Duniani.

Tahadhari! Video ya kuogofya imechapishwa hapa



....
Ajabu ni kwamba katikatia ya mapigano
Hapa kuna tafsiri mbili wa vijana wa M23 ambao wameelewa kuwa hawana malengo sawa na magaidi wa M23, wanataka kuona nchi yao moja na haigawanyiki. Katika video hii ni mkuu wa Unit akiwahoji wapiganaji waliokuja kujiunga na jeshi la DRC na kuwakaribisha.

Video

 
Mukaribu sana munyumbani tuungane kupamoyaa Mupambanie mu nchi yetu

Huyo tunakwenda kumupiga mpaka bukimbiee mukwao huko Sudan

Tunashukuru bandugu zetu BaTanzania na bubataliani buko muzuri bunafufurusha masase kwa adui huko kumapori bumetupa nguvu kumuponda adui yetu
 
Kwa kuwa unaandika mada zisizo za kiislam, itapendeza kama utabadili ID, hii inaleta ukakasi, hatujadili mambo ya kiislam kwenye uzi huu
 
Kwa kuwa unaandika mada zisizo za kiislam, itapendeza kama utabadili ID, hii inaleta ukakasi, hatujadili mambo ya kiislam kwenye uzi huu
Mada hiyo ni ya kiislam kwakua ndani kuna taarifa za magaidi yanayochafua taswira na sifa za dini ya kiislamu kwa kukatisha uhai wa binaadamu. Watu hao wanatumia uislam kwa lengo la kuuchafua. Hivyo ni lazima sisi kama waislam kuitaarifu jamii kwamba hao ni magaidi wanatumia uislam kwa lengo la kuuchafua.
 
Sasa kama raia asilimia kubwa wao ni kukata mauno tu na kucheza mziki ...starehe
Wataweza ngoma ya m23
Na kuna nchi moja afrika mashariki nayo inaelekea huko huko kama kongo kitabia

Ova
 
Back
Top Bottom