Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

anyways ngoja nikae kimya, ila kwa kifupi now naunga mkono hizi takataka zote kufukuzwa/ kunyimwa fursa ya kurudi bungeni maana kwao wapo tayari kwa lolote ilimradi wapewe misaada. I bet kama Lisu angeshinda urais muda huu tungekua kwenye intensive lockdown ili tuu mabwana wale wafurahi.
 
Mbowe anaongea kama mtu aliyekata tamma na hawezi kwenda mbele mpaka apate msaada. Majuzi rais Magufuli alisema ni aibu kwa taifa kushindwa kutengeneza dawa zake zenyewe, leo tunaona mgawano wa chanjo ya Corona duniani, Afrika haitapata chanjo za kutosha mpaka 2023 pale wazungi watakapo maliza kuchanjana.
Covid 19 vaccine.jpg
 
Mbowe anaongea kama mtu aliyekata tamma na hawezi kwenda mbele mpaka apate msaada. Majuzi rais Magufuli alisema ni aibu kwa taifa kushindwa kutengeneza dawa zake zenyewe, leo tunaona mgawano wa chanjo ya Corona duniani, Afrika haitapata chanjo za kutosha mpaka 2023 pale wazungi watakapo maliza kuchanjana.View attachment 1688353
Wazungu ndio wameathirika zaidi!
 
mmeshindwa kutengeneza pamba ya kuoshea vidonda ambayo mnalima kanda ya ziwa , mtaweza dawa ya corona ?
 
Mhe Mbowe, kamanda na kiongozi wangu. Ugonjwa huu hautupendi waafrika. Siyo kwamba jpm amesikilizwa na Mungu halafu akatuepusha na gonjwa hili. Hapana. Gonjwa hili halitupendi.

Covid-19 ni sawa kabisa na mafua makali ambayo kwa miaka nenda rudi tumeishi nayo huku.

Kwahiyo tusiingie kwenye mtego wa wazungu wakaanza kutichezesha mchezo wa kufuata masharti yao kama vile lockdown, chanjo, fumigation, kufunga mashule, magest hausi, masherehe n.k.

Ingekuwa ugonjwa huu unatupenda tungekuwa tumekufa. Kwahiyo tulia mhe Mbowe, acha tupige kazi maisha yaende.

Jiwe kabahtisha tu kwa kuwa ugonjwa hautupendi.
 
Ni kweli, hii nchi tumebarikiwa wasanii wa kila namna, kinacho watofauti ni majukwaa.
 
Wazungu ndio wameathirika zaidi!
Ni ubaguzi tu, kuna nchi kama Canada wanakalia chanjo inayoweza kuchanja wananchi wao mara 5 (x5) na ikabaki. Juzi tu rais wa SA kawafokeaa wazungu kwa ubaguzi wao.
 
Katika uchezaji disco ni no moja Afrika Mashariki, nampongeza kwa hilo.
 
Hiyo approach yake ya kusema Ukweli ili sijui watu wajue ukubwa watatizo watusaidie haina mashiko, Mpaka sasa hakuna Taifa hata moja ambalo limeweza kujisaidia lenyewe sasa huo msaada tungeupata kutoka wapi?

Hata hizi sarakasi za chanzo ni questionable na nina side na President Magufuri, the world is quite ignorant of what brought this deadly deseases? what cures it, etc alafu eti wanadai kuna chanjo.

Yaani chanjo inapatikana kabla ya Dawa? imeishawahi tokea hii?
 
Zile za EU ambazo matumizi yake yanahojiwa mliziomba za nini kama hamuhitaji kusaidiwa?
 
Back
Top Bottom