Hivi ukifa wewe mlalahoi mmoja utalitia hasara kiasi gani taifa?Vp tukimpoteza jemedari mkuu unafikiri kurudia uchaguzi ni hasara kiasi gani kwa taifa?
Hawa akina kijazi ni tahadhari tosha kwa serikali kwamba waache kuwahadaa watanzania,waseme wazi na waombe radhi kwakuita corona nimonia kali matokeo yake watu wanachukulia poa wanapoteza maisha.
Ok,hifadhi vizuri hizi kauli zako,hatuombi mabaya ila kwa hii corona ya sasa na mwenendo mbovu wa serikali dhidi ya corona,hawa top layers watanyooka na watakao salia itawalazimu wauseme ukweli kwamba corona ipo nchini na hatujawahi kuwa na ugonjwa unaitwa nimonia kali.