Video: Gari la polisi Arusha limekanyaga bodaboda na kuendelea na safari zake kama kawaida

Video: Gari la polisi Arusha limekanyaga bodaboda na kuendelea na safari zake kama kawaida

Gari la Polisi likifanya mambo ya ajabu Dhidi ya madereva pikipiki na watumiaji wengine wa barabara

 
Manual
20251108_223352.jpg
 
Wakuu,

Hivi kwanini lakini Polisi wana-treat Watanzania kama Wanyama wa Porini?

Hii nafikiri ilitokea Arusha siku ya tarehe 29
Baada boda boda kuwakimbiza polisi walikuwa mbele Kwa nyuma hii gari ya polisi ilikuja Kwa kasi nyuma boda na kuwakanyaga piki piki ndo iliharinika ila yule boda alipona
 
Jeshi limegawanyika, ila wengi hawamuungi mkono samuya .

Tesha anashindwa kwa kuanzia maana viongozi wake wa juu wanamuunga mkono samuya
Mapinduzi mengi duniani yamefanywa na maafisa wa ngazi za chini.

Yeye anashindwa nini?

Hivi unadhani wale vijana wa JWTZ wakiamua waingie kazini, huyo Mkunda na hao majenerali wenzake watashika bunduki waanze kuzichapa?

Traore ni jenerali?

Doumbouya alikuwa jenerali?

Thomas Sankara alikuwa jenerali?

Kaduna Nzeougwu alikuwa jenerali?
 
Sijaona kama kuna mtu kakanyagwa hapo alieona zaidi ya kusikia mlio aseme..... Unless kua video nyingine


By the way huo si utumiaji wa barabara ni risk hata kwa watembea kwa miguu ila pia hii sio ya leo
 
Back
Top Bottom