Video: Gari la polisi Arusha limekanyaga bodaboda na kuendelea na safari zake kama kawaida

Video: Gari la polisi Arusha limekanyaga bodaboda na kuendelea na safari zake kama kawaida

Kumbe ni tarehe 29 wanadai ya leo.
kumbe vya tarehe 29 vyote ni halali tu eti? Ila majitu ya ccm, majitu ya ccm, majitu ya ccm nyie nyie nyie naugua sn sn moyon nikiona clips za yale mauaji daaah. Halafu tunaambiwa ni raia kutoka nje ya nchi.
 
Ndio maana nimekwambia jitahidi kuficha wehu wako..

Kwenye hiyo video suala la Tesha limeingiaje ewe punguani wahed?!
Jamaa ni mssenge na anaweka emoji za kucheka, kuna lipi la kuchekesha hapo?
 
Kapteni Tesha yuko wapi? 🤣
Wewe wakati mwingine unakuwa na mambo ya kijinga sana.
Watu wanajadili mwenendo na matendo mabovu ya serikali dhidi ya raia, wewe unakuja na mipasho ya kanga.

29/10 raia walipoonesha kwa vitendo hisia zao kuhusu huu udhalimu mbona hukuongea huu upuuzi!?
 
Wewe wakati mwingine unakuwa na mambo ya kijinga sana.
Watu wanajadili mwenendo na matengo mabovu ya serikali dhidi ya raia, wewe unakuja na mipasho ya kanga.

29/10 raia walipoonesha kwa vitendo hisia zao kuhusu huu udhalimu mbona hukuongea huu upuuzi!?
*** wewe. Unaweza kupigana wewe? 🖕🖕
 
Kumbe ni tarehe 29 wanadai ya leo.
Yah situation ilikuwa mbaya sana
Polisi walikuja na gari ya kawaida wakazidiwa Wakakimbia

Wakati wanakimbia boda boda wakawafuata nyuma Kwa kasi

Ndipo Hilo gari likaja nyuma Yao Kwa lengo la kuwatawanya ,Kuna boda alikanyagwa vibaya sana , ila aliwahi kujiokoa hakufa
 
Back
Top Bottom