Video: Gari la polisi Arusha limekanyaga bodaboda na kuendelea na safari zake kama kawaida

Mapinduzi mengi duniani yamefanywa na maafisa wa ngazi za chini.

Yeye anashindwa nini?

Hivi unadhani wale vijana wa JWTZ wakiamua waingie kazini, huyo Mkunda na hao majenerali wenzake watashika bunduki waanze kuzichapa?

Traore ni jenerali?

Doumbouya alikuwa jenerali?

Thomas Sankara alikuwa jenerali?

Kaduna Nzeougwu alikuwa jenerali?
Hamna boss, mambo hayapo hivyo jeshini. Wakina Traole na wengineo wanakuwa na backup ya viongozi wao. Huwa wanapewa script ya kwenda kutangaza mapinduzi na hao majenerali. Mambo yakibuma majenerali wanabaki salama, mambo yakitiki ndio unawaona wakina Traole wanaibuka kidedea. On that note Captain Tesha hawezi kufanya chochote kwa sababu hana backup ya wakubwa
 
Ngoja sasa nikuambie.

Kazi inakuwa hivi:

Unaanza na Mkunda….shaba ya kichwa. Yule Chief of Staff ambaye ni Mzenji shaba ya kichwa.

Unaangamiza top brass kwanza halafu baada ya hapo hakuna tena kizingiti.
 
Kapteni Tesha atakuja kuokoa jahazi…..
Huyo Tesha hawezi kufanya mwenyewe, hata kama nia anayo. Huko jeshini, wanajeshi wa ngazi ya kati hadi chini watengeneze muunganiko wao kutoa huu utawala, otherwise watatuuwa na kumaliza kila anayewapinga.

Hawana woga tena wa kuuwa kwa maslahi yao na madaraka.
 
Kinadharia unachosema ni kweli kabisa.

Ila hadi kufikia sasa, mimi JWTZ hawajawahi kuni impress kwa chochote kile let alone intellect, strategy, and being for the people.

Kwa hiyo sina kabisa hopes zozote zile kwao.

But, if facts change, so will my opinion of them.

Until then, they’ve more than proved that they are useless and worthless.

Wameachia watoto wamepigwa risasi, miili yao iko mutilated…..no sir.

That’s unforgivable, to me.
 
Ngoja sasa nikuambie.

Kazi inakuwa hivi:

Unaanza na Mkunda….shaba ya kichwa. Yule Chief of Staff ambaye ni Mzenji shaba ya kichwa.

Unaangamiza top brass kwanza halafu baada ya hapo hakuna tena kizingiti.
Boss nakuaminia upo vizuri kichwani na najua una maumivu makubwa sana kwa haya mauji yaliyotokea ila kwa hii comment yako nina uhakika umefanya masihara
 
Ndio maana nimekwambia jitahidi kuficha wehu wako..

Kwenye hiyo video suala la Tesha limeingiaje ewe punguani wahed?!
..ni mjinga huyo, pamoja na kudai yuko nje muda mrefu lkn akili yake ni km anakaa madizini morogoro, wanvyolalamika waswahili wa bongo na yeye anlalamika badala ya kutumia nafasi aliyo nayo kutoa majibu ya upumbavu unafanywa na watawala yeye naye anaishia kuwa mshabiki..!
Diaspora ya tanzania ni sifuri..hata kina mange wanachofanya ni cha kuleta maumivu tu! jibu liko wazi na jepesi kabisa..vitendo vinaongea zaidi ya maneno! wanaosumbua tanzania hawazidi 50..take the battle to a person! Israel wanavyoua top scientists wa iran wanafanyaje..wanawaua km kundi au mmoja mmoja?
 
Kinadharia unachosema ni kweli kabisa.

Ila hadi kufikia sasa, mimi JWTZ hawajawahi kuni impress kwa chochote kile let alone intellect, strategy, and being for the people.

Kwa hiyo sina kabisa hopes zozote zile kwao.

But, if facts change, so will my opinion of them.

Until then, they’ve more than proved that they are useless and worthless.

Wameachia watoto wamepigwa risasi, miili yao iko mutilated…..no sir.

That’s unforgivable, to me.
Sahihi kabisa! Jeshi halikusimama kwa ajili ya wananchi, sio wa kuaminika tena.
 
Mapinduzi mengi duniani yamefanywa na maafisa wa ngazi za chini.

Yeye anashindwa nini?

Hivi unadhani wale vijana wa JWTZ wakiamua waingie kazini, huyo Mkunda na hao majenerali wenzake watashika bunduki waanze kuzichapa?

Traore ni jenerali?

Doumbouya alikuwa jenerali?

Thomas Sankara alikuwa jenerali?

Kaduna Nzeougwu alikuwa jenerali?
Punguza povu, mada yako haiendani na video hapo juu. Mpumbavou wahed ww
 
Actually wapumbavu ni ambao bado wanamtegemea Kapteni Tesha 🤣.

Wewe bado unamtegemea?
Ngoja nikupe hadithi ya Captain Tesha. Kambi anayotoka captain Tesha inajulikana sana kwa kuwa na maofisa wa jeshi, hasa ngazi ya luteni na kapteni wakorofi. Kuna ndugu yangu, ameshastaafu alikuwa mwanajeshi kwenye hiyo kambi. Anasema mwaka haumaliziki bila wakuu wa jeshi kutembelea ile kambi kwenda kuweka sawa wanajeshi wanaoandika barua kali kwenda makao makuu kuitishia serikali. Kwa kifupi ile kambi alichofanya Tesha siyo kigeni, ni matukio ya kawaida kabisa kwenye ile kambi.
 
Haina maana yoyote ile kama haikujaribu kuzuia mauaji ya maelfu ya Watanzania.
 
Tulieni wakuu , siyo muda tutasikia kishindo chenye tabasamu .

Watanganyika siyo wanyonge kwa kiwango hicho mnachokifikiria ,japo navujisha code lakini wacha tu niwaambie hatupo mbali na ushindi watanganyika siyo mabwege wa level hiyo.
 
Hii nafikiri ilitokea Arusha siku ya tarehe 29
Baada boda boda kuwakimbiza polisi walikuwa mbele Kwa nyuma hii gari ya polisi ilikuja Kwa kasi nyuma boda na kuwakanyaga piki piki ndo iliharinika ila yule boda alipona
Kumbe ni tarehe 29 wanadai ya leo.
 
Back
Top Bottom