Baada ya uchaguzi wa Januari 19-20, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, ameweka wazi mbinu alizotumia kuhakikisha Tundu Lissu anapata kura za kutosha kutoka kwa wajumbe na kuibuka mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa wa chama hicho.
Alishasema kuwa hana mpango wa kugombea ubunge mwaka huu. Labda aamue kubadilishia gia angani, kwa kuwa wanasiasa hawaaminiki. Anaweza kusema hivi leo na kesho akasema vingine.
Mwamba ni mtoto wa mjini, kuna mdau hapa jf alikuja na wasiwasi juu ya Lema kuwa msimamizi wa kura za lissu , nilimwambia tulia kama lema amekua mbunge wa Arusha jiji sio mtu wa mchezo ,akasema nakubari bro upako wako

Lema ni mtu mwenye akili sana. Hata katika kuongea tu utagundua ni mtu mwenye exposure na ufahamu mzuri. Hata Samia hawezi kumfikia kwa level ya reasoning. Achaneni ni hizo mambo ya ma-vyeti na ma-title ya u-dr yasiyo na ufanisi wowote.