Kwa mujibu wa maelezo ya Lema ni kuwa Mbowe na watu wake walikuwa na mpango wa kumuondoa kamati kuu asishinde uongozi wa kanda, kuwezesha asishinde ugombea ubunge,n.k.
Kwa namna nyingine tuseme walikuwa wanamkatia mirija ya chakula, wanauwa mustakabali (future) wake wa kisiasa. Would you still consider a brother a person who does that to you?
It seems Mbowe pushed his young brother too far, Lema couldn't hold it any more.
Ulimsikia anasema ilibidi aende kuongea na wazazi wake kwanza, nduguze kisha watu ambao wapo pamoja kwenye kikundi chao kama Kaka.
What Lema has already said it's just a tip of the iceberg, alot happened behind the scenes. Kulinda heshima ya Mbowe mengi hajasema ni vile yeye anaonekana villain, traitor au hypocrite (mnafiki).