4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Kamdomo ,kamdomounazani mtibeli alikuwa hajui ilikuwa maboya tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamdomo ,kamdomounazani mtibeli alikuwa hajui ilikuwa maboya tu
Mnyika na Bachelors Degree in Business Administration -UDSM. Nenda kaulizie pale karibu na Ubungo MajiMtanuna hadi lini?
Mnyika ana elimu gani?
Au chuki inakusumbua?
Ah..... Chawa wa mbowe naona unajikuna.Ukatibu Mkuu na Elimu hana? Huyo ni Ngumbaru mwenzetu
Tundu Lissu is a VictorWakuu
Baada ya uchaguzi wa Januari 19-20, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, ameweka wazi mbinu alizotumia kuhakikisha Tundu Lissu anapata kura za kutosha kutoka kwa wajumbe na kuibuka mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa wa chama hicho.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Kupitia mtandao wa X (zamani twitter) ame-share video kadhaa akionekana busy akipiga simu kuomba Kura kwa Wajumbe.
View attachment 3211915
View attachment 3211909
View attachment 3211911
View attachment 3211912
Nilisikiliza Hotuba yake na waandishi wa Habari juzi nilimvulia kofia.Lema ni mtu mwenye akili sana. Hata katika kuongea tu utagundua ni mtu mwenye exposure na ufahamu mzuri. Hata Samia hawezi kumfikia kwa level ya reasoning. Achaneni ni hizo mambo ya ma-vyeti na ma-title ya u-dr yasiyo na ufanisi wowote.
Kuna uzi kaanzisha Retired anasema wamesusa.Chuki zenu kwa wachaga zitakusaidieni nini? wachaga wakiisusa Chadema mnakata moto
Ukiona alifikia vile ujue Mbowe alimkwaza Sana. Nothing to regret.Sasa hivi ana kazi ya kurudisha uhusiano wake na Mbowe. Naona inamsumbua sana.
Amandla...
Ooh. Sawa. NimekupataHaukumuelewa vizuri, alisema iwapo Mwenyekiti Mbowe atashinda yeye Nabii Lema hatagombea Ubunge, hebu rudia kaitazame ile clip?
Makamanda wako kaziniWakuu
Baada ya uchaguzi wa Januari 19-20, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, ameweka wazi mbinu alizotumia kuhakikisha Tundu Lissu anapata kura za kutosha kutoka kwa wajumbe na kuibuka mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa wa chama hicho.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Kupitia mtandao wa X (zamani twitter) ame-share video kadhaa akionekana busy akipiga simu kuomba Kura kwa Wajumbe.
View attachment 3211915
View attachment 3211909
View attachment 3211911
View attachment 3211912
There is plenty to regret. Kwa simulizi zake ni kuwa Mbowe alikuwa ni kama ndugu yake. Kila mtu aliona ukaribu wao. Nahisi Lema alikuwa anaweza kuingia nyumbani kwa Mbowe wakati wowote aliotaka. Na familia zao zilikuwa karibu.Ukiona alifikia vile ujue Mbowe alimkwaza Sana. Nothing to regret.
Kuna uzi kaanzisha Retired anasema wamesusa.
There is plenty to regret. Kwa simulizi zake ni kuwa Mbowe alikuwa ni kama ndugu yake. Kila mtu aliona ukaribu wao. Nahisi Lema alikuwa anaweza kuingia nyumbani kwa Mbowe wakati wowote aliotaka. Na familia zao zilikuwa karibu.
Sidhani kama tatizo ni Lema kumuunga mkono na kumfanyia kampeni Lissu. Tatizo ni aina ya kampeni walizofanya na yeye akishiriki kikamilifu. Kampeni zilikuwa mean spirited zilizojaa uongo. K.m.
1. Lissu alianzisha kampeni ya kuhusu pesa za mama Abduli. Kwa wengi wetu alikuwa anasema kuwa Mbowe ni corrupt na yuko mfukoni mwa mama Abduli. Kwa vile Lema anamjua vizuri kaka yake angeweza kusema kuwa Mbowe sio corrupt. Kunyamaza kwake kukaipa miguu tuhuma hizo.
2. Lissu alisema kuwa source ya pesa za Mbowe hazijulikani. Akadai kuwa hata TIN number hana. Hii ina maana kuwa pesa za Mbowe ni chafu. Lema akanyamaza.
3. Mashabiki wa Lissu wakawa wanadai kuwa Mbowe ni pandikizi la CCM. Lema akanyamaza.
Tuhuma kama hizi na nyingine ziligusa kabisa character ya Mbowe.
Leo hata wajaribu vipi kum sopu sopu, maji yameishamwagika. Utasemaje kuwa mtu corrupt, pandikizi la CCM, mwenye biashara haramu n.k. bado mnamhitaji? Mbowe anaweza kuwasamehe kwa maneno lakini ndugu zake hawata sahau.
Swali kwa Lema ni kuwa was it all worth it? Kuacha ndugu yako ana chafuliwa kwa sababu tu za kisiasa? Atakuwa na wakati mgumu sana.
Amandla...
Hilo nalo. Na kuwa anaiba hela za ruzuku. Kuwa sio tajiri kivile, ni hela za CDM ndio zinamweka mjini. Mimi naanza kuhisi kuwa hata uchaguzi alifoji ili ashindwe. Inawezekana aliwaambia watu wake wa karibu wampigie Lissu ili kuepusha shari na kuwaonjesha utamu wa uongozi wa chama kikuu cha upinzani.mkuu hujayamaliza, Pia walisema Mbowe ndio anateka watu
Fundi Mchundo, Retired na Quinine. Itawachukua muda gani kuamini mtu wenu kakataliwa?Mimi naanza kuhisi kuwa hata uchaguzi alifoji ili ashindwe. Inawezekana aliwaambia watu wake wa karibu wampigie Lissu ili kuepusha shari na kuwaonjesha utamu wa uongozi wa chama kikuu cha upinzani.
Amandla...
Hakuna anayepinga kuwa kashindwa uchaguzi. Ninachokisema humu ni speculations tu. Inawezekana kabisa kuwa hazina ukweli wowote. Mnachopaswa kukumbuka ni kuwa 48.8 % ya wajumbe wa Baraza Kuu walitaka aendelee. Ignore them at your peril.Fundi Mchundo, Retired na Quinine. Itawachukua muda gani kuamini mtu wenu kakataliwa?
Could Be..!!Ni wazi kuwa alikuwa ananyimwa mgao na mbowe.
Mbowe ubahili umemponza