Uchaguzi 2020 Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini

Uchaguzi 2020 Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini

Huyu jamaa ana nyodo sana sasa tunaomba CCM mpitisheni agombee ili tupate kikaango cha kumkaangia kwani alikuwa anaringia kushambulia watu kwenye mimbari kanisani sasa kajileta huku tutahakikisha ule ugonjwa wake wa kichaa unarudi upyaaaaaa kwani chizi huwa haponi.
 
Gwaji boy ni tapeli tu, usitilie maanani saana kwa ayanenayo popote awapo iwe madhahabuni au kitaa!.
 
Aisee noma sana huyu MTU hana msimamo kabisa anaosimamia?
anabadilika, badilika kulingana na nyakati
hv ikitokea ameshindwa kiti cha ubunge si itakuwa noma kutoka kwa watumishi wake?
 
Askofu, hivi vyeo huwa wanajipa au wanapewa vya kuitwa askofu.

Gwajima ni zaidi ya bulldozer maana ukakasi kila sehemu, watu wanafata mujiza tu kwake hamna cha zaidi
 
Kwa vile ndugu mtumishi umeamua mwenyewe kugombea ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
View attachment 1496174
Kwa hiyo ameamua kuji-demote mwenyewe na kula matapishi? Kwa kweli kutamka neno kwa jazba haifai maana kesho yake tu linakurudi mwenyewe!!!!
 
Back
Top Bottom