Mu7
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,624
- 1,934
Kwa hakika akiingia mjengoni hawezi kutetea haki ukizingatia upande unaomuingiza huko.Kuna aina ya maisha mtu anaishi, yanaonyesha kabisa yupo kimaslahi zaidi. Ukifuatlia mienendo ya baadhi ya watumishi watu hawa na matukio fulanifulani uka-connect dots unakuja kuona picha nyingine tofauti kabisa na yale anayoaminisha watu wake.
Muombe sana Mungu akujaalie hekima ya kutambua na kuishi maisha yako wewe kama wewe na kumtambua yule anayefaa kukuongoza.