Uchaguzi 2020 Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini

Kawe inamhitaji Sana Bishop hivo aendelee hapo wapotoshaji watakuja na Kila mbinu za kumpinga. Ila ndo hivo Tena Form ashachukua mtateseka sana
 
Kuna msemo mmoja wa kizungu unasema "A gentleman changes his mind, but a fool can never." Mungu anabadilishaga mawazo eti naye...

Mimi naona hoja ya msingi iwe anafaa au hafai...
 
endeleeni kupanua magoli
 
Huo sio uongo wewe unacho takiwa kujua kuwa Gwajima hana mpinzani na anaweza kuongoza Nchi basi
 
Kwa vile ndugu Mtumishi umeamua mwenyewe kugombea Ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
View attachment 1496174
Ndugu Eruthro, ukoje wewe, toka lini ukategemea mtu anayemtapeli mungu na waja wake aseme ukweli au aishi maisha ya ukweli. Huyu mtu ni Dhaifu sana, hana imani, mzinifu, mlaghai, mwizi sasa akichaguliwa na kwa bahati mbaya akapewa uwazi wa mambo ya ndani, sijui itakuwaje
 
Chief sikutegemea na wewe unaweza kuwa na mawazo haya kamanda mbona unakuwa mgeni kwenye siasa sometime ukitaka kumpiga adui yako ingia ndani aliko ujue mbinu zake
 
Ndugu Eruthro, ukoje wewe, toka lini ukategemea mtu anayemtapeli mungu na waja wake aseme ukweli au aishi maisha ya ukweli. Huyu mtu ni Dhaifu sana, hana imani, mzinifu, mlaghai, mwizi sasa akichaguliwa na kwa bahati mbaya akapewa uwazi wa mambo ya ndani, sijui itakuwaje
Unaakili kweli wewe
 
Mzinifu kwa sababu alishawahi kulala na mama yako?
Acha kuongea ongea pumba ww bwege wa kununuliwa.
Hana imani ww umejuaje au ww ni Mungu mtu au ndiyo mwenye kiti wa wachawi?
Kama yeye ni mwizi basi ww ni mwizi mwenzake huwa mnaenda kuiba wote bwege wewe.
 
Back
Top Bottom