Uchaguzi 2020 Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini

Uchaguzi 2020 Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini

Kwa vile ndugu Mtumishi umeamua mwenyewe kugombea Ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
View attachment 1496174
Nami nashangaa, Mungu amekataza mwanadamu asiape kwa kinywa chake. Mtumishi wa Mungu ambaye ni halisi hawezi kuacha ministry yake na kwenda kugombea siasa.
Starting for wrong reason influence quiting for wrong reason.
 
Tukumbuke pia kuwa kuna msemo wa Kiingereza usemao
"It is ONLY A FOOL WHO DOES NOT CHANGE HIS MIND"
Kwa kiswahili
"NI MTU MJINGA PEKEE ambaye HUWA HABADILI MSIMAMO ama MAWAZO yake"
Unalionaje hilo Erithrocyte?
Kwani kila msemo ni sheria?
Huyu ni tapeli Tu kama tapeli mwingine isipokuwa huyu gwajima anavaa joho la uchungaji
 
Teh..teh...roho wa mungu atakuwa kamletea ufunuo ili agombee hizi nafasi ambazo hazina upako...
 
Ukigeu geu kwa wanadamu ni kawaida

Mbona CHADEMA walituamisha kuwa LOWASA hafai lakini baadae wakasema anafaa na akawa mgombea wao kiti cha uraisi!

Maisha bila unafiki hayaendi
Chadema ni wanasiasa ambao kwao uongo na ujanja ujanja ni sehemu ya kazi zao.

Gwajima aliwadanganya watu kwamba yeye ni Askofu

Askofu ni kiongozi wa kiroho.

Kiongozi huwezi kuwa mtu shortcuts kama wanasiasa.

So li tapeli Gwajima linatakiwa kukanusha hadharani kwamba he is not a bishop , he never was, then aendelee na takataka zake.
 
Kwa vile ndugu Mtumishi umeamua mwenyewe kugombea Ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
View attachment 1496174
Bro tuache kwanza, bado tunamtathmini kwenye hii video yake anayokula yule kondoo mweupe.
Huyu mchungajifeki ametudhalilisha sana mabaharia, haswa marehem mwenyekiti wetu GEORGE FLOYD (R.i.P)

Haiwezekani bao tu atoe mlio ule kama engine ya fiat
 
Halafu uno tatu tu wazungu mwaaaaa.
 
Chadema ni wanasiasa ambao kwao uongo na ujanja ujanja ni sehemu ya kazi zao.

Gwajima aliwadanganya watu kwamba yeye ni Askofu

Askofu ni kiongozi wa kiroho.

Kiongozi huwezi kuwa mtu shortcuts kama wanasiasa.

So li tapeli Gwajima linatakiwa kukanusha hadharani kwamba he is not a bishop , he never was, then aendelee na takataka zake.
Kimaumbile ya kibinadamu yanawezekana na nje ya uaskofu yeye ni mwanadamu na huo ni udhaifu wa kimaumbile;
 
FB_IMG_1593861624421.jpg
 
Back
Top Bottom