Uchaguzi 2020 Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini

Ahhh naona MWAKIPESILE unajitahidi kwa Nguvu zote Kama KADA KWA AJILI YA KUPOTOSHA WATU # KUWA WAKUSIKILIZEE
#HUO NI UCHAWIII
 
Ila wabongo bhana... kwahiyo mnaona inawezekana mtu kua mchungaji na mfanyabiashara ila haiwezakani kua mchungaji na mwanasiasa. Binafsi mm sio mfuasi wa gwaji lakini yule jamaa ni asset sana akienda bungeni, acheni siasa uchwara. Human beings and dynamic and being dynamic to things of positive is not fatal

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Haya ni mawazo mgando kudhani mchungaji kuingia kwenye siasa ni kutafuta ulaji. Tunahitaji watu potential kwenye siasa za nchi bila kujali dini zao, makabila yao etc

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Sema atapita na sio kupitishwa ,alafu kichaa unacho wewe unae andika upuuzi wa namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…