The Watchman JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 896 Reaction score 1,427 Mar 8, 2025 #1 Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka. Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby Your browser is not able to display this video.
Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka. Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby Your browser is not able to display this video.
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,154 Reaction score 7,083 Mar 8, 2025 #2 Pole yao
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,154 Reaction score 7,083 Mar 8, 2025 #3 Waanze kurudi kwao
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 14,938 Reaction score 25,405 Mar 8, 2025 #4 Hii ni aibu kwa bodi ya ligi na club ya Simba. Hawa mashabiki mtawalipa juhudi zao kwa mapenzi ya mpira.
Hii ni aibu kwa bodi ya ligi na club ya Simba. Hawa mashabiki mtawalipa juhudi zao kwa mapenzi ya mpira.