VIDEO: Hali ya Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika mechi ya Simba SC vs RS Berkane

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Tazama hali ya sasa Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika katika mechi ya Kombe la Shirikisho Simba SC vs RS Berkane



Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Hii shida yote inakuja kwasababu kuna viongozi na watu ambao hawako serious.Yaani ubabaishaji wa kiwango kikubwa.Ata kurekebisha uwanja tu tena ambao fedha zimeshatengwa nikiasi cha usimamizi tu hatuwezi.Tuna safari ndefu sana yakujisimamia.
 
MNAHANGAIKA BARUA ISHATUA SIMBA KWA MKAPA HATUCHEZI NG'O
CC BERKANE
CC
TFF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…