Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 2,661
- 5,583
Jengeni wenuuu
Gomeni. Ubaya ubwela.
Yaani maandalizi ya kuishenyenta simba yanaanza taratibu sipati picha siku ya mechi watakavyo bebwa
Hii mechi utopolo mnahusikaje?Mwarabu hachezi majarubani
Hahahaha aaa, hii lugha kushenyenta niliisikia huko nyanda za juu kusini. Maana yake kugegeda.Yaani maandalizi ya kuishenyenta simba yanaanza taratibu sipati picha siku ya mechi watakavyo bebwa
Nendeni amani mkacheze acheni ujuaji.
Navyojua, anayechagua uwanja ni mwenyeji hata akisema atatumia wa Rwanda ni sawa na sio CAF wapange utacheza wapi.Hapa kuna namna nyingiii zinafanyika kumtoa simba mchezoni.
1.Taarifa imetoka siku moja kabla ya mchezo wa kwanza kufanyika.Hapa kuna namna.
2.Kwa mkapa imeonekana kuwa ni tishio sanaaa kwa timu mgeni.Hivyo simba asipatumie.
Simba ipambane game ipigwe kwa mkapa kwa namna yoyote ile.
Hizi ni hujuma za wazi
Kwani kwa Mkapa kitu gani maalumu mpaka mpalilie?Hapa kuna namna nyingiii zinafanyika kumtoa simba mchezoni.
1.Taarifa imetoka siku moja kabla ya mchezo wa kwanza kufanyika.Hapa kuna namna.
2.Kwa mkapa imeonekana kuwa ni tishio sanaaa kwa timu mgeni.Hivyo simba asipatumie.
Simba ipambane game ipigwe kwa mkapa kwa namna yoyote ile.
Hizi ni hujuma za wazi
Ni lazima kiwanja kikidhi vigezo sio tu kujipangiaNavyojua, anayechagua uwanja ni mwenyeji hata akisema atatumia wa Rwanda ni sawa na sio CAF wapange utacheza wapi.
Anachagua Mwenyeji,ila baada ya kupitishwa na kukaguliwa na CAF. Kwa kifupi walio pewa jukumu la kuukarabati uwanja ndio walio zingua, kwani walikuwa na mda wa kutosha.Navyojua, anayechagua uwanja ni mwenyeji hata akisema atatumia wa Rwanda ni sawa na sio CAF wapange utacheza wapi.
Sawa, sasa Simba amechagua hiko walichotaja wao?? Hivi umeelewa nilichosema? Jukumu ni la Simba na wao wathibitishe tu kuwa kina faa au la.Ni lazima kiwanja kikidhi vigezo sio tu kujipangia
Sasa iweje achaguliwe?Anachagua Mwenyeji,ila baada ya kupitishwa na kukaguliwa na CAF. Kwa kifupi walio pewa jukumu la kuukarabati uwanja ndio walio zingua, kwani walikuwa na mda wa kutosha.
?Sasa iweje achaguliwe?
Mhuni kampata mhuni wa zaidi yake. twendeni AMANI COMPLEX ZANZIBARHapa kuna namna nyingiii zinafanyika kumtoa simba mchezoni.
1.Taarifa imetoka siku moja kabla ya mchezo wa kwanza kufanyika.Hapa kuna namna.
2.Kwa mkapa imeonekana kuwa ni tishio sanaaa kwa timu mgeni.Hivyo simba asipatumie.
Simba ipambane game ipigwe kwa mkapa kwa namna yoyote ile.
Hizi ni hujuma za wazi
Hawawezi kuaminiwa tena, kumbuka CAF waliukataa huo uwanja tokea awali kuchezewa katika mechi dhidi ya Al Masry lakini wakaja kuaminishwa kuwa uwanja umefanyiwa maboresho na waje kukagua. Kweli kimuonekano ukaonekana upo sawa ila mvua ilivyonyesha ukatia aibu ni kama wachezaji walikuwa wanacheza kwenye matope. Hivyo CAF wamejifunza kutokana na makosa hawatoamini tena kuhusu huo uwanja kwa kipindi kifupi hivyo.Sawa, sasa Simba amechagua hiko walichotaja wao?? Hivi umeelewa nilichosema? Jukumu ni la Simba na wao wathibitishe tu kuwa kina faa au la.
lakini lazima huo uwanja uwe kwenye viwango vya CAF na FIFA. kwa MKAPA hapajafikia kiwango kinachotajkiwa ukizingatia mkandarasi badi yupo uwanjani anamalizia ukarabati na wakati huo mechi ni tarehe 25. Zile nyasi hazijakomaa, mvua ya Dar ikianguka tu zinang'oka na kuwa jaruba la Mpunga.Navyojua, anayechagua uwanja ni mwenyeji hata akisema atatumia wa Rwanda ni sawa na sio CAF wapange utacheza wapi.